@qasmilolyrics: Zee Cute Ft Hamadai - Nakuja#goviral #fyp #zeecute #hamadai #nakuja

Qasmilo lyrics
Qasmilo lyrics
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 09:11:24 GMT
205775
12313
139
380

Music

Download

Comments

user46562201458000
merry🦋🦋 :
ulinip mimba huu wimbo nilijua kujojoa😂😂😂
2026-10-26 15:47:22
40
suuhmomy
Miss Dijjah🥰🤦‍♀️ :
Daah[Tears of joy]
2026-10-27 17:34:20
0
beauty.mzumbwe
beauty beauty :
kipindi nipo shule lafkyangu aliniambia katunga yeye 😂😂😂😂 huu Wimbo jaman 😂😂😂
2026-10-26 17:48:07
21
missg5390
🎀🫦🎀miss🫦G💥🦋🦋 :
enzii izo ata sijui alikuwa anamaanisha nn? ila nilivyo kuwa naimba kwa isia sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 15:45:21
22
yusufjohn723
The fighter& :
umenikumbusha mbaliii sanaaa
2026-10-27 09:26:53
10
cutemam65
🦋❤️cute mamu🦋❤️❤️ :
Me nilikuwa naimba wataitanaaa
2026-10-26 18:23:03
8
user1113078173755
afro mey :
🥰🥰🥰 akuna wimbo mzur Kama uhu
2026-10-26 21:35:29
6
briee1250
Madam...Emmies...store :
Enzi zangu huu wimbo naimba kwa hisia mpk nikampata first born wangu jmn😂😂
2026-10-27 19:18:09
3
user25608522920867
dorice :
🔥🔥🔥🔥eziii
2026-10-26 10:45:39
9
pamela7133952393323
pamela_backup27 :
Oyaa kuna huyo Ex baby dady aliniambia kaimba yeye m ni nan nikatae😂😂🙌 niliachwa na mimba msanii sijui yuko wap🤣
2026-10-28 08:37:44
1
mayra.pilla.pillah
Mayra pillah :
Hii wimbo inakumbusha enzi za uhai wangu 😂😂😂
2026-10-27 08:09:28
3
mkewangu0
miss🦋 independent 🦋🦚 :
nlitombeka vibaya sana na huu wimbo khaaaa sitaki mm😁😁
2026-10-27 19:18:34
1
d_brand82
Dee_brandy!!? :
ilikuwa nyimbo yangu pedwa sana hii
2026-10-26 18:18:38
5
user4011566875035
official wapili born :
hamadai ni 🔥
2026-10-26 11:10:42
10
teresiasimon503
Teddy :
kipindi ndo naingia kwamahusianoo uuwi tulikuwa tunauimba san [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] hahhahaha now hahahahhaha gudubai
2026-10-26 18:47:49
3
lucy.bebe7
Lucy bebe❤️🇹🇿🌹🇨🇩💲🇿🇲 :
Ilikuwa nyimbo yangu pendwa
2026-10-26 18:59:41
5
aviananderson643gmail.co
vanboy🤘🤟🤘 :
Atari hi ngoma inanikumbusha demu wangu wa Zaman jmn love you my x
2026-10-26 15:25:26
8
sabrinaibrahim951
breenah VENOM :
hapooo
2026-10-27 17:30:46
2
carn023
Carino❤️‍🩹💕🤍 :
🥰
2026-10-27 13:21:25
1
user2613472744755
@mwenda mseya.tz :
daaah hii song ni 🔥🔥🔥 kipindi hicho .zee alijua kubaruza veeep 🥰
2026-10-26 16:31:39
3
rajabhalima755
kuruthumu omary :
hiii nyimbo nilkua naimba yote bil kurlewa🤣🤣😊🤣
2026-10-26 17:00:33
2
shinegmail.co1
GOOD VIBE POINT🧿 :
Hii nyimbo haijawahiii kuchunda kila siku unajuwa 🥰🔥🫰🏾
2026-10-27 15:30:45
1
pinky.swee6
pinky swee :
aki nakumbuka
2026-10-26 17:38:45
2
africanachilamwina
AFRICANA CHiLAMWINA👣💸💸 :
nina kuball saaana 🥰🥰🥰
2026-10-26 15:17:18
2
neema.shayo465
Fine Girl 💕 :
Ila hii nyimbo au BAs
2026-10-26 15:38:50
3
To see more videos from user @qasmilolyrics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About