wanaskiaga lakini hawawezi
zi kuongea isipokuwa Allah ndio anasikia sauti yao😔
2026-10-26 14:04:22
33
Lucy Chriss🔐😍 :
Kwa akili yang ningeomba tena elaa ningemwambia baba kama kwel unanisikia vizur naomba tuma tena kibunda cha ela ili nijue unanisikia[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 12:51:03
16
yusra katanga :
nini zaid ya kukimbia
2026-10-26 11:55:24
12
J Trend’s online store :
Mimi nilienda makaburini wakati nalia akaja kipepeo nilipo eti nikajihisi kama mama yangu nikapata furaha mno sikujui ilikuaje I miss my mom avizoeleki
2026-10-26 14:58:59
7
Dolisi noeli Noeli wandwe :
kila kitu fanya kwa imani
2026-10-26 17:32:50
2
eagle boy :
baba yangu alinikataza kuomba mizimu yeye alimuamini Mungu na mimi siwezi kumuangusha
2026-10-26 14:00:29
5
mwasambili76 :
Mungu yupo
2026-10-26 11:42:40
10
Veronica 💕 :
kwa sisi wakristo biblia inasema hakuna ushirika kati ya mtu aliye hai na mtu aliyekufa hata Mungu awatambui na ndio maana hakuna rehema au second chance ya waliokufa kutubu na kusamehewa dhambi so,hapo mahali popote iwe kanisani,iwe vichakani,iwe nyumbani kwako,iwe mahali alipozikwa mtu ukiwa unaenda mara kwa mara na kufanya mazungumzo flani au kitu chochote cha kiroho au cha Kimwili mara kwa mara unapageuza kuwa madhabahu,sababu hakuna madhabahu bila ibaada flani,so kila madhabahu nyuma yake inaongozwa na roho flani,inaweza kuwa roho ya nuru au roho ya giza,sasa hapo aliyezikwa hayupo Ni mwili tu ndio upo lakini yeye halisi yupo sehemu inaitwa umilele (eternity) so unadhani sauti aliyoisikia Ni ya babaake au kaenda madhabahuni na kajibiwa na roho inayotenda kazi hapo madhabahuni?.wapendwa life is spiritual mtu akifa ndo ameenda,
2026-10-26 18:24:21
0
DON BOY#9000 :
na wewe uka amini
2026-10-26 17:52:43
0
Ms Sony💋💋 :
Daaa me nilienda kaburi la mama kipindi nasoma chuo sina hata 100 nilienda nikaongea kwa uzuni nilivyorudi nyumbani nikawa nimeshika madaftari yangu ya 4m 4 nikiangailia tu nikivyoandika kati ya Yale madaftari nilikuta elfu 80 mimi sikuelewa mpaka leo na ilikuwa siku iyoiyo na madaftar sikushika mda
2026-10-26 15:30:42
3
janeth♥️♥️ :
Apo nimiguu nisaidie
2026-10-26 12:02:21
0
Reyra😋 :
N mim ntaend jnuary inshaallah🙏
2026-10-26 13:14:16
1
Kalpha :
movie inaitwaje?
2026-10-26 18:35:14
0
Juju🌸 :
mungu yupo ksbsa
2026-10-26 13:54:20
2
Shakila Abby :
mbio zangu azina mfano
2026-10-26 16:24:56
1
dataz :
Marehemu mtusikie jaman
2026-10-26 18:35:55
0
user5740730143430 :
ningeenda kupanda ndege fasta
2026-10-26 20:06:06
0
ney ney :
2026-10-26 15:14:46
0
Bbyzuh💔 :
Duuh. Hiii dunia ina mambo mengii
2026-10-26 12:54:12
6
khadija mkonge :
migu nisaidir
2026-10-26 12:16:46
0
Wakujaala abdallah :
Unabisha ulikuwepoooooo ?
2026-10-26 21:21:03
0
tiner wilsony :
Sasa anashangaa nn wakati aliomba mwenyewe,,
2026-10-26 13:24:02
0
Ayeshy :
Ningemuombea dua mzazi wangu na kuzidi kumshukuru MMungu.
2026-10-26 12:57:18
0
Lina baby shoop 👗🛍 :
na hoka mm
2026-10-26 12:59:32
0
haylat💕 :
ivi jamn kwel upo Muunganiko wakiroho wafu na walio lala
2026-10-26 10:51:36
1
To see more videos from user @shalomrobby, please go to the Tikwm
homepage.