You will be a great leader/ president of your people in future.it's just only about time.
2026-11-04 12:33:30
0
moric :
ungekua wewe ungefurahi????
2026-11-02 07:19:10
638
Jah ki :
naatabaki na kidonda till end of time love come once up on time ...dear baba
2026-11-04 05:50:46
0
user8055732020467 :
please jessica ,do all your best to walk on the path of your father ,his dreams ,the whole of Africa is still having a wound in the heart .
2026-11-04 08:03:53
0
Born to suffer :
Mimi mwenyewe sina hata chembe ya uhusiano wa damu na Magufuli lakini hadi leo naumia moyoni ninapomkumbuka, Sembuse yeye Jesca aliyeondokewa na Baba yake Mzazi ? Kifo kisikie tu kwa jirani, kikikugusa penyewe maumivu yake ni makali na inachukua muda mrefu kupona.
2026-11-02 09:29:37
306
user4876156144543f :
pole san
2026-11-04 07:22:05
0
mata20 :
kwann kuna watu wana tumia jina lako na sura yako kutapeli watu
2026-11-02 06:22:06
164
jurius munk :
por kwakumukumbuka bab
2026-11-03 21:07:17
0
debbie :
muulize mwenyew maana hata ss hatuna furaha
2026-11-02 09:24:58
50
Happy🏞🦋 :
nakunawatu wanatumia picha zako kutapeliwatu😌😟😔
2026-11-02 11:27:18
61
Hamida Kibambe :
nature ya baba
2026-11-03 06:53:14
0
Mwana Alphonce :
hv kumbe bado kuna watu wanaambiwa tuma 50000 upate 5000000 na mt anatuma 🤣🤣🤣
2026-11-02 21:13:23
21
baby fetty :
ila coment za watanzania au bas😂😂😂😂
2026-11-02 11:10:47
26
Laine's Benedicto :
anaonekana anayo mengi yakuumiza moyoni lakini sasa kuyatoa ndo shida
2026-11-02 08:00:43
31
fransisca :
hata mimi nina huzuni sembuse yeye kufiwa na baba anaejitambua si jambo jepes
2026-11-02 06:07:55
52
Alice Juma :
kweri mungu hakutie nguvu kupoteza baba sio kitu laisi hinauma sana
2026-11-02 14:57:05
22
ummufatmah :
ulimuonaaa?
2026-11-02 08:21:07
9
Veronica Simon :
kwa sababu anamuwaza babake
2026-11-02 11:30:58
11
GIVEN✨🌹 :
duuh kafanana na baba ake wallah 🥲🥹
2026-11-02 08:51:22
7
molongwe majile :
sasa kama anajua kuwa CCM ndo waliohisika kumuua baba ake, yeye kabaki CCM kufanya nn
2026-11-02 19:49:23
5
zephania :
kwa sababu upo moyoni mwake
2026-11-02 07:21:35
5
momy and verian❤️ :
jamanii daah ila kweli hanaga furah kabsaa sijuw kwanini
2026-11-02 06:33:14
6
evod2026@mode :
daaaaah
mimi sikumpa nafasi ya kumsikiliza roho wq Mungu aliniingia et ana mchongo
2026-11-03 23:29:24
2
Robert Freeman :
Jessica mwenyewe anasemaje 😂😂😂
2026-11-04 06:56:26
0
Faida Sadiki :
moyo wa mtu ni kichaka ujue 🙏🙏
2026-11-04 09:10:13
1
To see more videos from user @userjescamakuvul, please go to the Tikwm
homepage.