kwa kifup maadili ya mtoto wa kikrsto na kiislam ni tofauti
2026-10-26 12:48:11
274
Display Gasper :
usiseme shule za kidini. Sema shule za kikristo. Sote tuseme Amen 🙏🙏🙏
2026-10-26 13:20:40
139
@Oficial Mr Broken 💔 :
Religious schools vs. Government schools
2026-10-26 15:02:15
0
Emanuel Edwin mrema :
za dini wanahitimu za serikali wanamaliza uez elewa
2026-10-26 12:02:29
85
EML :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa mtu asicheze. wangoni 🤣
2026-10-26 10:39:24
77
BigBro :
it's not about shule, it's about communities the kids come from
2026-10-26 15:52:38
0
Her :
shule za kikatoliki ni Nzuri...hata za kisilam zipo nzuri tu🔥
2026-10-26 15:50:34
24
Lying :
clakeeellll
2026-10-26 16:24:36
0
Alice Efraim :
ila pia inategemea na mkoa kaskazin ata shule za kata wana adab jamani
2026-10-26 12:38:55
29
mercyaecofarm :
ila sijui shida ipo wapi kiukweli nimekaa pwani miezi.kadhaa sijatamani hata mwanangu akae huku likizo Bora abaki kwa bibi ake,maadili ni mabovu mnooo
2026-10-26 12:07:01
28
@Baby khaggy.-org :
Mbona sisi tulisoma shule za pwan na tunamaadili jmn....🥺🥺
2026-10-26 13:11:28
13
bellringer wetu :
what is name name of song/beat name of the first one
2026-10-26 13:05:59
1
Roma italya 😎 :
ila wangoni🙌[Tears of joy]
2026-10-26 13:31:21
1
🇲 🇦 🇳 🇦 🇱 🇴 🇳 🇪 :
shule za sent sabato wanatoa kichapo[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 10:39:21
14
junebebe28😘💸💰 :
2018 4m4 nilivo maliza paper nilienda bwenin kulala kwanza 😂😂nilikuwa na stress 😩 za kuvurunda particle ya chemistry 😂
2026-10-26 11:26:32
16
Ummy Ng'eni :
nimeona mtu kasema maadili ya kiislam na kiristo tofaut ila mtoa post kasema shule ya dini na serikal sasa serikal ndo maadil ya kiislam au? mm nimesoma shule ya dini ya kiislam hata picha tulikuw haturuhisiw kupiga siku ya graduation kwnz hatujaongea chochote mbele ya wazaz watt wa kike zaid ya watt wakiume maadili ya pale ni hatar
2026-10-26 16:18:25
6
Gabriel Ozil Alifred :
wangon wangoni
2026-10-26 11:53:55
17
aggy :
wangoni tupo jamani [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]