Sisi tulio kwenye madini hii kanuni ndo tunaishi nayo, Tunatumia pesa, tunahonga na pesa haziishi, kikubwa tu nichojifunza wakati wa matumizi inatakiwa uachilie kutoka ndani ya moyo na usiwe na mashaka mashaka
2026-10-26 22:01:16
2
J.J outfits :
mhmmm
2026-10-26 18:52:30
2
maisha plus :
nilishawi kumpa mzee wangu mmoja pesa nashangaa anaanza kuzipanga kwa mpangilio kama huo sema ckumuwekea maanani wala nn
2026-10-26 20:52:00
2
Miney Ally :
hii nikweli ku asiku nilipata 30k nikasema acha tu niitumie nasikuwa hata na namna yakupata nyengine kitendo cha kumaliza zile pesa kesho nikapata 100k nikaamini ule msemo toa pesa upate pesa😂😂😂😂
2026-10-26 18:21:32
3
baby linah❤️💍🥰 :
na kama zipo hivi je ndio inatakiwa iweje
2026-10-27 01:48:11
1
lee✨️ :
Sa kma pesa ipo BANK unakuaj
2026-10-27 00:09:16
1
cade755 :
huo n uhuni tu an nizitafte kwa shida nije nsubiri zije zenyew????🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 19:12:02
1
Azzan Jr :
2026-10-27 01:44:17
1
Abby👀💮 :
mbn mm sitajirik sasa
2026-10-26 17:19:21
1
MALONE :
nani kasema
2026-10-26 18:20:56
1
Rick boe :
mim nilienda juzi kwa wakala nikapewa hizo mbili nikaw najiuliz mbn namba hazitofautian sana zimepishan kidog 😮
2026-10-26 18:54:26
3
MR-Handsome :
acha kutudanganya kaka 😅😅😅 hizo ni hadithi za kusadikika
2026-10-26 17:37:45
1
Storehouse Tz :
Amen
2026-10-26 17:26:28
1
Isack Ashel :
tutanganye tutanganye 😅😅
2026-10-26 18:21:10
1
🇬🇧 𝐖𝐀𝐑𝐑𝐄𝐍 ఌ︎ఌ︎ఌ︎ఌ︎ :
imani potofu eti pesa zinafurahi Sana kukutana 🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 16:15:07
1
PrettyNaah🦋❤️🩹 :
10k zina furaha tena 😂😂😂😂
2026-10-26 18:26:23
1
MR-Handsome :
kaka hizo zinakuaga mpaka 9 nshawah kuzikusanya zikafika 9
2026-10-26 17:36:36
1
EsmaBJ :
kwa hyo namba zikifuatana ndo inafaa kuzihifadhi....na kama zikimiss ndo zirud kweny mzunguko hazifai kuhifadhiwa......?
2026-10-26 19:22:07
1
Storehouse Tz :
Nmeshika jana tu
2026-10-26 17:26:38
1
Haji Juma :
je hizi zinz maanagani
2026-10-26 18:40:24
0
Scott 👀 :
ap kuna mambo✌
2026-10-26 17:57:10
1
To see more videos from user @mapambo_house_tz, please go to the Tikwm
homepage.