kaka izo ngoma tuambiae tuanzipateje tupo mbali na kigoma
2026-10-26 11:37:30
1
tembostar :
hii nyimbo kitambo kgm
2026-10-26 16:26:29
1
Chef Milambo JB :
Dah umenikumbusha Disco vumbi kigoma kusini nyumbani HELEMBE nwaka mpya huo dah💯
2026-10-27 20:34:09
1
Kassim Mzambia :
daaaa!kaka fanya nipate hiyo nouuuum sna
2026-10-26 17:15:26
0
David Kisovu :
kaka naomba nyimbo izo
2026-10-26 10:30:55
0
Nickolaus :
kak hiyonyimbo yanan
2026-10-26 10:39:12
0
Ally decorations TZ :
mkubwaa hizi nyimbo tunaa zipataj
2026-10-26 17:42:26
0
MR.KENGE OG :
nazipataje hizo ngoma
2026-10-26 15:56:57
0
KING KIBA 👑 :
kitabo sana
2026-10-28 04:02:10
0
DJ WAMILAZO kigoma 0763772065 :
WAMILAZO sound 🔊🎛️🎧🎚️
2026-10-26 10:27:50
0
iconboutz :
umenikumbusha disco vumbi haya magoma nimeyaruka sana sijui nayapataje niyaruke hata kwenye buffer
2026-10-27 16:53:48
0
dony ngwasu :
hii ngoma naipataje
2026-10-27 16:44:05
0
Furaha M Hassan :
duuuh hyo umenikumbusha disco vumbi Mkongoro
2026-10-27 13:10:08
0
Mr teacher :
kigoma juu sana kaka uniko dar kwa sasa lakini nakuomba nitumie jina la wimbo yani enzi izo tunaluka disco izo ngoma nitumie jina la wimbo nanyingine ile ya fadi mo fire
2026-10-27 10:04:45
0
ZAHIRY AYUBU :
naita hii kaka 🙏🙏
2026-10-27 10:03:54
0
💯official✨zedon💤3768🔥 :
oya mwanangu umenikumbusha mbali kinyama yani aisee
2026-10-27 19:51:40
0
muganza :
lisasi
kuna R na L
2026-10-28 05:27:01
0
Alafa Yasin :
jina la wimbo tafadhar wa dau
2026-10-27 18:13:54
0
yuzzo :
yanan
2026-10-27 20:03:08
0
Chidy✊✊🫡 :
Kaka nazipataje izo ngoma dah
2026-10-27 10:36:00
0
To see more videos from user @wa.milazo.king, please go to the Tikwm
homepage.