acheni kumkufuru Roho mtakatifu,Mimi nimefunguliwa efatha nikitolewa muhimbili hadi leo ni mzima tangu 2012
2026-10-26 15:45:36
16
user8131494550262 :
baba yangu mdogo alienda kwa mwamposa hajawai kuona kamwe
2026-10-26 17:47:10
14
ManCobra :
Wanaanza kutajana, hakuna uongo usio na mwisho
2026-10-26 13:45:15
18
dada💃💃 :
Kama yule aliye pokea pesa kutoka Bank haidai bank lakin pesa zikaingia
2026-10-26 15:17:53
12
Neykidoti :
Sio kweli Mimi ni shuhuda jaman Mungu katenda kwangu kupitia maombi ushauri wa babaangu wa kiroho Mtumishi Antony Makane 🤝👏
2026-10-26 20:49:15
2
Karim designer :
wote waongo tuu, YESU ALIMALIZA KILA KITU....MUUMINI FANYA KAZI MUOMBE MUNGU KISHA SUBILIA
2026-10-26 15:07:38
5
Eliza Singano :
Miujiza ya mungu ipo mm nilitendewa makuu 2002 hadi leo nipo na hata sasa bado mungu ananitendea
2026-10-26 16:46:48
2
azahjp :
yuko sahihi makanisa mengi ni matapeli
2026-10-27 13:38:57
2
alpha donna😎 :
lkn pastor mgogo hajamtaja mtu anajibu maswali yake vzr sana mungu ambariki
2026-10-27 08:03:55
6
kilindo wood🇹🇿 :
mtu haubeti lakini unaamini kunasiku utapata muujiza utapata gari zuri nyumba nzuri ila hauamini kama ipo siku utashinda tiketi ya kubashili!!!!🤔 hua sielewagi kabisa ni muujiza upi tunauamini
mungu ni mzuri na mungu ni mkali sana
kinachutuchanganya wengi ni namna hizi dini zinavo muelezea mungu sikuizi
2026-10-27 04:02:59
3
Jeff Jb Manyiri :
MUONAPO MAMBO HAYO JUWENI MWISHO U KARIBU.
2026-10-26 18:21:35
3
mushauri wa rais :
hakuna mchungaji hapa tunapigwa tu😂😂
2026-10-27 03:51:04
2
loveness cosmetics 💄💞💋 :
🥰🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏namuelewa san huyu pastor
2026-10-26 17:03:53
4
Joseph moleli :
sema ukweli
2026-10-27 04:46:28
1
user4633313265534 :
Jina la Yesu linatumika kutapeliwa watu
2026-10-27 09:01:43
1
kitukuu cha Matoti :
mtu mkweli km huyu ndo anatakiwa
2026-10-28 07:20:14
1
Brother Sam 254✔️ :
ndo maana nakupenda pastor mgogo na mwezako nganga
2026-10-27 05:57:00
1
@6x~dalla$ :
mgogo ukosahihi kabisa
2026-10-26 18:27:40
2
MUNGU KWANZA :
hakika www unasema ukweli kbs MUNGU tupinganie ktk maisha yako
2026-10-27 04:55:25
1
walvin1 :
nyie semeni akiwaona anawafungia ofis
2026-10-27 04:02:52
1
jully :
kweri ipo feki ipo
2026-10-26 14:16:46
1
african_queen :
Mie mwenyewe nilishafatwa na rafiki yangu kaka yake anajita mtume au Nabil nikajifanye nomeona miujiza baada ya kuonbewa na huyo mtu kwa ahadi ya mln4
2026-10-26 14:09:44
1
Cheque number :
kabisa kabisa 😂😂😂😂
2026-10-26 13:09:21
0
To see more videos from user @connecteastafrica, please go to the Tikwm
homepage.