Kutoa hela kwa wakala unaweza kurudisha muamala kwani?
2026-10-26 13:03:17
118
SMART BEI POA :
Nandio utaratibu ulivyo kiuhalisia ila tumeweka mazoea hapo kuna mpaka kitabu cha kusaini mteja
2026-10-26 13:07:12
67
careen akida :
Wakala unatakiwa kuwa makini na wateja unaowahudumia wateja wengine ni tapel anatuma 5000 baadae anakwambia alikupa 50000 tuwe makini sana Ii kazi inataka umakini kuliko hata mnavyolinda migongo yenu
2026-10-27 06:00:10
18
calvin :
nishafungaga hesabu nikaona upunguvu wa 5000 niliumia knma baada ya dakika kama 10 akafika mteja ety ooh 100000 haikufka nitumie tena. inauma sana
2026-10-26 16:47:07
11
Miksoni 82 :
Mimi mwenyewe wakala ila wateja wanazingua Mimi Jana nimekutumia mteja milioni 1 mda si mda kaurudisha muamala iliniuma
2026-10-27 06:01:57
13
Grcmyonga :
sitoi hela bila msej kufja kwang hata kama kwako imetoka😁
2026-11-05 11:42:37
3
pendo f malla🤏🤞✌️🧚♂️🧚 :
heee mallya tena anatoaje book jaman😁😁😁
2026-10-26 13:07:28
2
SIZZOH.✍️ :
nime munasa leo
2026-10-26 11:25:55
6
Gavana :
mbn kama ndio tabia yangu
2026-10-26 14:14:38
5
Agvee :
jamn mawakala tunapitia changamoto sema bs tu
2026-10-26 20:32:03
5
kelan :
hio mashine umeieka wap mwanetu au haupo dar🤣
2026-10-26 15:45:21
5
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
Akitoa pesa nje ya wilaya uliopo wakala akirudiaha muamala hawaulizi chochote inarudi fasta,, wanaangalia Logic. mtu anatoaje pesa hayupo kwa wakala,
dah iyo ndo tabia yangu walai, alfu izo machine zipo sehem gani au haupo DAR😅
2026-10-26 20:23:30
2
WHITELIBRARY :
NISHAPOTEZA 1M KWA DHARAU HIZI😏
2026-10-26 12:29:41
4
Happie🌸💫 :
tena hasa wale ambao hasemi kama anatoa unashangaa anakwambia umeiona 😏
2026-10-26 17:02:36
2
careen akida :
Sheria ya kwanza 1 marufuku mteja kutoa ela akiwa mbali na ofisi yako labda kama unamjua tofauti na apo asitoe ela akiwa mbali sababu akuzuia muamala anasikilizwa sababu wanaangalia umbali wa mteja aliyetoa ela na wakala alipo (2) marufuku mteja kumpa sm yako wakala aandike namba sababu ndani ya sekunde anaweza kuhamisha muamala wako bila wewe kupewa taarifa (3) mteja anapokuja kutuma pesa akikupa namba bila jina usitume hata kama unamjua KUMBUKA akirudi baadae atakwambia pesa hajaiona na ukimuuliza jina atakwambia wewe ndo ulihakiki namba kwaiyo kwenye Ile namba anabadilisha namba Moja so itaonekana umekosea wewe namba 1 itabidi utume Tena pesa nyingine tapeli uyo