musiwape kura viongozi mpk ss nn amejitokeza kutusaidia
2026-10-26 12:21:02
6
Shuu🩷🌸 :
eee iyo ni kweli kuhusu ulawiti hatutaki ulawiti wauliwe au wafungwe
2026-10-26 13:37:22
4
sultanabdi730 :
masheikh hakuna Mombasa....labda sheikh aboud rogo rahimahullah tu
2026-10-26 16:36:49
3
shema..aliy722 :
sasaiv wakuongea nihao viongozi ila mashekhe wanajitahid sanaa kukataza ulawitii
2026-10-26 14:00:22
1
ahmedsalimbader :
very sad 😔
2026-10-26 12:44:33
1
Faiza Issa :
alhamdulillah
2026-10-26 13:31:21
2
Zeinab Said511 :
Subhanalla Sasa vipi Tena masheikh
2026-10-26 16:25:28
0
user661630898 :
mwamuonea
2026-10-26 17:49:08
0
Royal elite 🇰🇪 :
Ushanga mtawacha
2026-10-26 16:22:04
0
👑 IRON LADY 👑 :
mashallah
2026-10-26 12:06:40
1
jet2holiday :
sakina every Friday kwazungumziwa hilo jambo
2026-10-26 16:58:15
0
swabry :
mashekhe maslahi
2026-10-26 16:38:34
0
DON :
2026-10-26 14:48:03
0
Fauz Khalid :
Huyu masheikh walimfanya nini ?
2026-10-26 15:08:16
0
👣 :
huyo aliyeanza na kutaja mashekhe vibaya amenikera
2026-10-26 15:06:50
0
mturuki media :
jaman mtoto wa darasa la ngapi. Allah awahifadhi watoto wetu
2026-10-26 15:15:54
0
Roy Silver :
kukataza uovu ni kila MTU sio lazima awe shekh
2026-10-26 16:11:44
0
Ibnu Ali :
kua na heshima na masheikh kwani ma sheikh mara ngapi wanaongea juu ya mimbar
2026-10-26 16:46:20
0
user5959505910256 :
niko bara mambo ni hayo hayo kuna jamaa ana fanya hivyo hivyo
2026-10-26 15:22:28
0
الدنيا حلوة خضرة💚 :
huyu bwana ameongea kwa hamasa sana lkn amewakosea adabu mashekhe kabisa..huo si ujasiri wa kuongelea na kuwa kejeli mashekhe kwa namna hio...ni video ngapi ambazo ziko mitandaoni za mashekhe kuongelea ushoga?? hamuoni hizo video??...acheni kuwa ongelea mashekhe kwa hali hio kuweni na adabu
2026-10-26 13:22:44
5
To see more videos from user @alhaajartvkenya, please go to the Tikwm
homepage.