koma koma koma nimekukomesha mara 3 mm wang nampenda maana ana vitu vyang [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 14:05:52
0
little diemo :
utani utani hivyo hivyo mutaachanisha ndoa za watu na mahusiano ya watu🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 13:16:23
72
Hamida :
Weee koma wangu nampenda tena nampenda bure
2026-10-26 13:48:20
6
🤍happyness 🤍💥💫♥️ :
😂😂mm mwenyewe siwez
2026-10-26 12:51:35
25
miss ♥️🇹🇿 :
kwer kbs sema iz shida zetu ndo zimatufanya tuishi nao 😂😂😂
2026-10-26 13:36:44
19
htz Kitutu :
ninaye wangu mfupi na nampenda kuliko hata biriyani 👌👌
2026-10-26 13:33:22
12
girl🥰❤️🩹 :
unatakaa kuniambia mama angu ampendi baba angu sindio mwanetu😳😳😳😳
2026-10-26 13:47:01
5
vee💕 :
ningemtag m2 ila cjui nmn y kutag😂
2026-10-26 12:52:37
16
Jimbe :
daah tutapendwa na Mungu ndo kilichobaki
2026-10-26 12:58:38
11
fâdjø kriizy_🟩🟥🟦_🇹🇿 :
NILIJUA MNATUTANIA kumbe mpo serious kabc..😂😂😂🔥🤣
2026-10-26 13:28:57
9
Agnes :
We koma usinigombanishe na mme wang😂
2026-10-26 13:57:42
2
Beatrice Boniface :
wenye wanaume wafupi 2juane
2026-10-26 12:23:39
4
user2394693746344 :
mm baby wangi mfupi ila nampenda balaaa,, ananjua hyooooo,, mpk🙌🙌🙌
2026-10-26 13:18:56
6
Albina Prosper :
se.a haiwezekani kusave ningelisave nimtumie mtuu
2026-10-26 13:33:22
3
official mary@M² :
moja kwa moja status😁
2026-10-26 13:27:51
1
it's 🍂@nn@h🫧🫧 :
Weeeeeeee mwanaume mfupi ana pepo yake bhana kwanza akikupenda anakuaga loyal na ata kutreat kama mtoto wake na akiwa na hela sasa basi anakupa dunia [Heartwarming]
2026-10-26 14:01:44
0
toxic boy captain 💀💀 🪖 :
mbona mimi ni kaka yake goliati bado spendwi😂😂
2026-10-26 13:06:49
0
bob :
dooh
2026-10-26 13:35:38
1
Venance :
Kwamba nadanganywa🤣🤣
2026-10-26 13:02:22
12
Ramlah bint Abdully :
Labda cyo huyu wa kwanguu aiseeeee usinishauri utanichanganya🥰🥰🥰
2026-10-26 13:46:57
0
sabrah wa mashaka🥰 :
na msizan ni utan yan tupo serious kabisa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-26 13:27:01
1
Kanyambo the great :
Au sio
2026-10-26 12:49:24
1
miss papy :
mmmh wewe dada 😂😂
2026-10-26 13:39:15
1
Esther official :
Mme wangu asione Ii ataona namtric tuu🤣🤣🤣
2026-10-26 13:45:45
1
Msafi Kumbis :
Me mke wang ananipenda hatar na nishazaa nae watoto wa5 utamwambia nn akuelewe
2026-10-26 12:33:57
1
To see more videos from user @donmaster062, please go to the Tikwm
homepage.