@bigthemadness: MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU ERYKAH BADU Kutoka kwenye sauti ya kipekee hadi kilemba kilichokuwa sehemu ya utambulisho wake, Erykah Badu si jina la kawaida kwenye historia ya muziki. Akiwa mmoja wa watu muhimu katika safari ya Neo-Soul, ameonyesha kuwa muziki ni zaidi ya sauti, Ni utamaduni, utambulisho na namna ya kujieleza. #MwanaFA #erykahbadu
𝐁𝐢𝐠𝐭𝐡𝐞𝐦𝐚𝐝𝐧𝐞𝐬𝐬
Region: TZ
Monday 26 October 2026 12:51:24 GMT
Music
Download
Comments
TechLondon🇬🇧 :
Ametajwa pia kwenye verse ya tatu ya A Milli ya Lil Wayne.
'They say I’m rapping like B.I.G, Jay and 2Pac Andre 3000, where is Erykah Badu at?'
2026-10-26 17:54:45
8
Cpt Komba Jr :
Ericka Rose Badu
2026-10-26 18:03:43
1
Achola🦋 :
Tajere Madness
2026-10-27 06:17:08
0
mbeho255 :
mwana fa ni maana halisi ya falsafa anajua vitu vingii
2026-10-27 04:51:38
5
BUKU2😎 :
Kuna muda alimuambukiza mzee wetu Andree 3k viremba
2026-10-27 08:57:35
3
nasibu Said :
safi kiongozi,huyu Mam's namkubali sana nimekuwa nikimsikiliza toka miaka ya 90's
2026-10-26 16:53:20
4
tmatrix :
Labda Gen-Z ndio awamjui.
2026-10-26 19:55:11
3
𝙴𝙻𝙴𝚅𝙰𝚃𝙴 :
My favorite female artist 🔥
2026-10-26 17:01:43
2
user2998192873887 :
Legend herself
2026-10-26 19:24:35
1
meck_pro :
Mtu Big
2026-10-26 17:41:14
1
Michael Cossan :
mzee wa kisofa umeptelea wapi siku hz🔥
2026-10-28 05:20:14
0
IAMTWENTYTHREE :
1000%
2026-10-27 14:09:18
1
Kitumwii :
Sijawahi kuwaza hlo ni jina😂😂😂
2026-10-28 02:15:05
0
Rayhina♓️ :
2026-11-11 16:01:48
0
user6360546209945 :
Huyu sio Mke wa Mtoto wa Bob.
2026-10-31 09:08:30
0
ibrahm :
we si kameraman wa mwana FA
2026-11-10 22:32:16
0
Cruyff :
Aliwahi kuwa manzi wa Andre Benjamin na wana mtoto anaitwa Seven kwenye ngoma ya Life in the day of Benjamin Andre jamaa kamuongelea sana huyo she
2026-11-10 21:12:48
0
naseeb_cartel :
FALSAFA🚒🔥 @𝐁𝐢𝐠𝐭𝐡𝐞𝐦𝐚𝐝𝐧𝐞𝐬𝐬 @MWANA FA🇹🇿
2026-10-26 13:59:16
1
muzungu🙏🫶❤️ :
🫡🫡🫡🫡🔥🔥🙌🏾
2026-10-27 03:42:12
1
Mushar Bayat⛎ :
🙌
2026-10-26 16:27:16
1
To see more videos from user @bigthemadness, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.