@nakirahayoub73: #kenyantiktok🇰🇪 #zanzibartiktok #tanzaniatiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok🇹🇿 #zanzibartiktok

Nakirah Ayoub
Nakirah Ayoub
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 12:55:55 GMT
42829
888
364
306

Music

Download

Comments

bausaboy
Bausa.boy :
December soon we're coming To Unguja jamn
2026-10-26 19:59:09
0
richiboy56
richi boy56 :
puunzi [Mic drop hype]
2026-10-26 19:56:24
0
ruzan.msomal
Ruzan msomal :
heee jaman mgen hatoi taarifa anakuja mda wowote ndio akaitwa mgen wakwangu aje anapo jiskia
2026-10-26 15:45:12
44
abdalla9032
Teacher :
ndio maana mungu anazidi kutupiga na balaa la njaa kwa sababu ya kuvunja undugu na roho mbaya tulizonazo waisilamu wa sasa na tutazidi kupata mabalaa ya maradhi na njaa
2026-10-26 16:36:42
28
best_design_fashion
best_design_fashion :
Ni wewe bwanaaa hutaki wageni 🤣🤣🤣🤣
2026-10-26 15:08:45
8
eisheerclassic
Eisheerclassic :
Wageni wanakuja na Barka zao msiwaseme mnazuia rizki zenu wenyew kwa rizki mnatoa nyie au wao?
2026-10-26 16:14:53
19
mr_magobe
Mr.Magobe :
upuuzi maisha ya dunia yasitufanye tuvunje undugu kwan vyakula ni bora kulik ndugu acheni uchoyo
2026-10-26 19:50:04
5
user7078308616208
user7078308616208 :
ujumbe umefika kwa jamaazako hawatokuja Tena kwenu mm ckujui itakuaje nije kwako
2026-10-26 17:50:52
11
47r4sh
47R4§H :
wapemba wakienda unguja wanamchukua mpaka jirani ambae hajawahi kufika unguja😁
2026-10-26 15:40:23
11
awena.iddi
Awena Iddi :
wapemba hatuna hila hiyo samahani musitutiye ila mgeni ana baraka zake wa kwangu aje muda wowote
2026-10-26 17:59:46
8
khalfanjr9
s.a.l.i.m s.e.i.f :
kila mtu anakuja na ridhiki yake
2026-10-26 16:07:14
6
feibinho.6
ibrahsadio26 :
Hao waliokupa ujumbe huo waambie waache roho mbaya ndgu ata akija saa 6 usiku vizuri kumkaribisha mgeni ni baraka kila mtu ana riski zake
2026-10-26 19:17:40
3
jokhasheha
Mola ndie muweza :
kampeni ya kuanza kukwepa ndugu imeanza hata disemba haijafika
2026-10-26 17:56:36
3
cutedee604
cutedee😋 :
umeambiwa na nani
2026-10-26 14:48:08
7
ummy.haji7
Ummy Haji :
ndo nnapofikiya hotel
2026-10-26 13:00:39
1
ashasaidali475
Asha Saidali :
november disember nakuj
2026-10-26 19:24:47
0
alizeti65
@lly💦 :
samhn sana nikuulize wewe ni nakira ila nakufananixha na shakira hemu hakikixhie
2026-10-26 20:17:54
0
l842186
UserName :
Mm nakuja unguja na nakaa mwaka mzima. Jiandae
2026-10-26 19:45:36
0
official_flamingo21
official_flamingo :
kwahiyo mpka sie tuna chelewa kuamka ukumbini munatusema au sio 😅😅
2026-10-26 17:58:30
0
balqyss.collectio
Balqyss- collection 👌😍😻 :
Tunakuja n hatusemi ngoo tunkuja km mazombi 😂😂 mm w kwnza nikienda sehem sisemi naonekana tu Mmefika 😂
2026-10-26 16:56:21
0
mr.roca123
Harmony :
Hivi haloo Wafaa kweli mimi ni wa kunitumia mjumbe kutoka Tik Tok? Sawa ujumbe nimeupata na kwa hunioni tena. 😳
2026-10-26 15:22:48
1
maryam.hotai6
Maryam Hotai :
Ukisikiliza huyu dada bila makasiriko kaongea jambo la maana sana na muhimu,tusikilize kwa mazingatio 🥰
2026-10-26 19:12:10
0
stella75393
stella :
sawa kijumbe
2026-10-26 17:59:11
0
hmiya064
@nia :
🤣😂🤣😂Ttz umeifungia hii clip 😂😂😂
2026-10-26 16:56:03
2
user3759613752313
Raj :
mgeni ni Barka wacheni uchoyo na roho mbaya
2026-10-26 16:20:55
3
To see more videos from user @nakirahayoub73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About