@istiqamahsyg: Tofauti ya Tajassus na Tahassus - Ustadh Sayyid Swaleh Sheikh Bahasan Mawaidha mafupi na yenye elimu ya kina kuhusu tofauti kati ya Tajassus (kupeleleza/kuchunguza makosa ya watu) na Tahassus (kutafuta habari kwa nia njema/kujali) kutoka kwa Ustadh Sayyid Swaleh Sheikh Bahasan. Mwenyezi Mungu amhifadhi na amjalie malipo mema. لا تنسوا الاشتراك، والإعجاب، ومشاركة هذا الفيديو لنشر الخير وعلوم الدين الإسلامي Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare video hii ili kueneza heri na elimu ya dini ya Kiislamu. Do not forget to subscribe, like, and share this video to spread blessings and the knowledge of the Islamic religion. #Shorts #SayyidSwalehBahasan #TajassusNaTahassus #AdabuZaKiislamu #SheikhBahasan #MaadiliYaKiislamu #MawaidhaYaKiislamu #IslamicShorts #SwahiliIslamic #Tanzania #Kenya #Mawaidha