@istiqamahsyg: Uislamu Ni Dini ya Mipango - Ustadh Sayyid Swaleh Sheikh Bahasan Mawaidha mafupi na yenye elimu ya kina kuhusu jinsi Uislamu ulivyoweka misingi na mipango katika kila sekta ya maisha ya mwanadamu kutoka kwa Ustadh Sayyid Swaleh Sheikh Bahasan. Mwenyezi Mungu amhifadhi na amjalie malipo mema. لا تنسوا الاشتراك، والإعجاب، ومشاركة هذا الفيديو لنشر الخير وعلوم الدين الإسلامي Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare video hii ili kueneza heri na elimu ya dini ya Kiislamu. Do not forget to subscribe, like, and share this video to spread blessings and the knowledge of the Islamic religion. #Shorts #SayyidSwalehBahasan #UislamuNiDiniYaMipango #MipangoKatikaUislamu #SheikhBahasan #MaishaNaUislamu #MawaidhaYaKiislamu #IslamicShorts #SwahiliIslamic #Tanzania #Kenya #Mipango