@islamicswahilinet: TASAWUR UNGEFANYAJE KAMA UNGEPOTEZA MIKONO YAKO LEO HII? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 26 October 2026 13:21:41 GMT
Music
Download
Comments
hamza :
mashallahh
2026-10-26 13:29:22
4
Abuu Aisha assalafy :
subhanallah
2026-10-26 14:44:33
2
fildimasho05 :
hasbunallah waniimal wakiil
2026-10-26 13:43:04
3
Isaack Ndogholi :
subhanallah Allah Akbar
2026-10-26 15:36:53
2
aishhah7 :
SubhanaLlah ALlahu Akbar!!
2026-10-26 14:41:19
1
Mw.Waks :
Alhamdhulilah
2026-10-26 16:32:18
1
famau :
😭😭😭😭 mawaidha mazito alhamdulillah
2026-10-26 18:03:46
0
Michael Jackson :
Subhan Allah
2026-10-26 19:42:48
0
Bob Nash2020 L.t.d :
subnallah
2026-10-26 19:42:01
0
Athumany Omary :
subhan
2026-10-26 17:47:43
0
shivau🕌❣️😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 :
[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-26 13:27:24
2
Dream Chaser :
🥰🥰🥰
2026-10-26 17:41:40
1
usnamukucha :
🥰🥰🥰
2026-10-26 13:32:35
3
Arixy🐾🐾🐾 :
🥰🥰🥰
2026-10-26 13:30:36
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.