Sasa watoto Wana shida Gani yeye abaki na mke wake tu
2026-10-26 13:39:25
10
khadija zongo :
salimia kwanza kaka
2026-10-26 13:32:47
6
SlipKnot🎇 :
bora ndoa ivunjike hakuna cha kutereza hapo
2026-10-26 18:47:41
2
Dalali MZAWA🙏🫶👏 :
ukumbi ulikua unaitwaje?
2026-10-27 12:29:11
1
Abdul8686 :
kama mm ndio jack nawatambulisha watoto wa mwenzangu na kuendelea na ndoa Ila mwenye watoto wake asiwe na mawasiliano na mke wangu kama anakata mawasiliano na watoto wake awatafuta shemeji zangu na sio mke wangu
2026-10-26 15:20:25
3
MR.WAKUTULIA🇹🇿 :
Aishinae tu ndo kilichobaki,
Watoto hawazuii kitu muhimu upendo japo kufichwa pia ndo shida[Innocent]
2026-10-27 17:31:07
0
Magat :
cmpo tu tunaanzisha family hatuendelezi family
2026-10-26 13:55:47
1
Mgunya janeth 1994 :
kikubwa niwame mwambia hata Kwa kuchelewa kila lakher
2026-10-27 17:07:38
0
misana :
ndoa inaishia hapohapo
2026-10-26 13:28:39
1
MWANA DIKALA🦁 :
hivi wanaofichaga watoto wao huwa Wana maana gani?? Mimi Nina watt 6 tena kila mtoto na mama yake
2026-10-26 17:08:48
1
🐌🐌snailshanelavilas🦋🦋 :
mim huyu
2026-10-26 14:03:53
1
bee :
sasa apo akuna shida maana tumeoana mim na jak watoto watajuana na baba yao
2026-10-27 11:07:54
0
EX-Soldier 💥🇷🇼 :
Anaitwa mzee khaan
2026-10-26 19:49:29
1
Mrs :
salimia
2026-10-27 12:12:40
0
mnazareth ,✍️🌹🌙 :
run
2026-10-26 20:03:26
0
Poison league :
Dah Jack kama Mimi tu 😭😭😭😭
2026-10-26 17:09:25
0
gabow8 :
2026-10-26 13:47:56
0
Maumau march Mwana wa adamu :
nikuowa tu
2026-10-26 14:52:32
0
Husenl :
🤔🤔🤔
2026-10-26 16:07:11
0
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Kitu ambacho siwezi kuwaficha wanangu ata sk moja lkn baba watoto kila mmoja yupo na maisha yake kikubwa heshim kwa mumeo lkn ukweli mtu ajuwe mapema
2026-10-26 17:05:40
0
Mussa west :
baada ya apo ndoa imekufa kwan haikua sahih kufichwa kwa wakt wote huo kwan kufaham mapema ingemjenga kisakolojia mapema pia haipo sawa na inamadhara sanaa badae
2026-10-26 16:34:36
0
Erickson :
subiri kwanza tumalize harusi
2026-10-26 18:43:54
0
Nassor Juma Haji :
mzigo c upo
2026-10-26 20:23:49
0
DENNO PHONE STORE :
Daaaa
2026-10-26 14:18:17
0
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.