@irene_uwoya: Mungu Anitunzie Wewe Krish Wangu Nakupenda Sana🥰❤️ Bytheway Naombeni Msupportin Sana Uyu Kijana Naitwa @Frankiee_tz Anajua Sana Tena Sana
Hivi inakuwaje mnaita mtito wa mwenzenu ni mmbaya?
2026-10-26 17:33:06
295
Monalisa Ndimbo :
luludiva asimuone huyu jmn
2026-10-26 18:14:32
62
Sheila Bakari :
siri imefichuka azizi kii kataa
2026-10-26 16:12:11
97
La Fifi💞 :
HE LOOKS LIKE THE PRINCE Louis RWAGASORE: THE HERO OF BURUNDI INDEPENDANCE
2026-10-29 15:15:59
1
smile ,, maker :
angalia kajala asimuone , jackline wolper na luludiva 🥰🥰🥰🥰
2026-10-26 15:48:16
110
tFatma Mazungu :
kiukweli mwanao ana adabu sana mm nilikuwa nafanya kazi hapo unapoishi akikaa nje na walinzi, ukipita lazima akuamkie kiukweli hana majivuno umejua kumlea huyu kijana mungu azidi kumtunza Amiin❤️