@irfaan387: *"Tunajenga hospital kubwa na ya kisasa na yenye vifaa vya kileo kwa ajili ya kutibu maradhi mbalimbali ikiwemo saratani "Cancer"...* *-President Hussein Mwinyi* #paratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii #ikulumawasiliano #trendingvideo #tiktok #pppppppppppppppp
Mheshimiwa mwinyi kuna w2 wako na njaa wanawtoto wagonjwa naowa naomba muwafikie kwani wana hali mzito wakumbukeni hawamiliki ata kula ya siku angalieni hali zawanyonge sana kwani allah atatuuliza kwakila neema aliotupa
2026-10-27 13:02:22
1
user5570044092395 ahmad :
tatizo hizo hospital hazimsaidii mwananchi mnyonge wa zanzibar kama hina bima smart cash hutibiwi lumumba wala magogoni n hiyonzimoja mdio hayo hayo
2026-10-27 08:13:08
1
Innat wanu :
mashaallah mashaallah mashaallah usichie mtu nchi hii labda ASMA MWINYI AU WANU SAAMIA
2026-10-26 22:39:13
1
👌wounded healer🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 :
Ameen atuepushe nahusda maana? Mmh
2026-10-26 16:39:24
5
Hassan Hassan :
kwanini huyu jamaa tusimuache atuongoze mpaka yeye achokee anaupiga mwingi
2026-10-27 04:21:50
0
Rashid zanzibar tour :
atupunguzie faini tu bas
2026-10-26 18:03:19
0
kimkhan :
mwinyi ubarikiwe
2026-10-26 21:16:17
2
dilnasso :
nyinyi hamushangai kaz za vikosi watu walikua hawa zitaki kwa sababu ya kujiajiri neema ilikuepo lakini sasahivi kazi zinauzwa mpaka wengine wanatapeliwa njaaa ufisadi umezidi vita vya kisiasa inajengwa barabara kuna wazee wanapokonywa bishara zao na risk kawapa Allah.
2026-10-27 14:25:44
1
👌wounded healer🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 :
Maashallah Mashallah. Haya ndio mambo tulikuwa tukitaka
2026-10-26 16:39:57
3
Mkulima Mchumi :
Allah akuhifadhi Mh Rais wetu kazi tunaziona baada ya muda mfupi sana Zanzibar itang'ara
2026-10-26 18:08:50
3
Haroub :
nice
2026-10-26 18:54:25
1
said20 :
kumi tena roho safi
2026-10-26 18:03:02
2
Sultan Znz :
Amina katiba sio msafu DR MWINYI tunamuhitaji tena 2030🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-26 20:26:07
1
kuraish bey💯 :
asanteeee hayo ndio manenoooo
2026-10-26 18:06:10
2
To see more videos from user @irfaan387, please go to the Tikwm
homepage.