@dejah_2112: Tafadhali Niambie kwenye comment aina ya ngozi yako nikutajie product Nzur zitakazo endana na ngozi yako.. lkn kama hujui pia please comment sijui ili nikupe vipimo bureee vya kutambua aina ya ngozi yako… #skintalk #skincare #skineducation #heathskin #skintreatment