Nimeenda kuomba kazi vodacom wakaniambia watanipigia niache namba ya simu nimekumbuka saiv Nimeacha namba angu ya halotel
2026-10-27 07:18:37
64
Ally Sharyph :
mimi waliniuliza what the time nikawa nimesikia what the name nikajibu shariff nikapewa bahash yang mpk leo
2026-10-27 06:01:43
19
homegirl_aesthetics💕🌸 :
Aaah nonsense
2026-10-27 09:50:48
0
Genius 🤦 :
GSM uyo nan anabisha
2026-10-26 19:11:38
20
Kidali official1955 :
Mi nilikuwa naingia ile kuingia tu nikasikia please wait mi nikataja 80kg wakanambia tutakuita ndo mpaka leo Yani
2026-10-27 05:28:25
19
Aston kabic :
Unaleta mapenz kazini🤣🤣🤣
2026-10-27 04:41:19
4
#M.A.L.U.M.E 🇮🇹🇹🇿 :
Haina comeback 😂
2026-10-27 07:51:13
0
张景🇹🇿🇨🇳 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hawapendi maendeleo yako😂🙌
2026-10-27 10:38:02
0
pmc- trend tag#pain talks$ :
ungewajibu kwanamna yakuwashawishi
mfano udhaifu wangu ni
1.kufanya kazi mda wa ziada pale inapobidi
2.uaminifu hata kwavitu vidogo
3.uvumilivu na stala hataikiwa mteja,boss,au mfanyakaz mwenzangu atanikwaza
4.kuwah kazin ilikupata mda waziada kwaajili yakufanya maandalizi
5.bidii,juhudi nakujituma kazini
2026-10-26 15:59:27
4
fraisonFriday :
Sasa Inaubaya gn uonevu tu
2026-10-27 07:54:13
1
djsfamily :
Unataka kazi unataka mapenzi mwanetu
2026-10-27 04:29:39
1
🫀أمين :
Tamaaa😅
2026-10-27 06:58:45
1
كاجال جوش🌹 :
Baaasii Kwishaa😂😂😂
2026-10-27 08:45:32
0
tumaini Daniel malima :
hahaha
2026-10-27 07:23:07
0
Zaruh Rojo :
🤣🤣🤣🤣 kwakweli
2026-10-27 04:49:15
0
Omary 27 Maritime⚓ :
Wangekusikiliza kwanza
2026-10-26 22:42:07
0
shou :
2026-10-27 04:51:18
0
user2373937390129 :
2026-10-27 06:01:57
0
Finnah 🦋 :
😂😂jaman
2026-10-27 03:32:19
0
Justin stamphord :
Gsm baba unatoa wap hela🤣🤣🤣
2026-10-27 06:23:56
3
_r.i.ck.smash☘️ :
Busu la shingo [Tears of joy]
2026-10-27 05:58:34
1
naty_naty5 :
😁😁😁 Ebu njoo
2026-10-27 06:41:17
0
gody soundy :
kwan iyo interview ilikua pale shifaz
2026-10-26 18:44:36
1
Khuli❤️🩹 :
Uyu nn mm kbsa😂😂
2026-10-27 13:39:55
0
prime_.mellow :
ungeuliza ai kwanza🤣🤣🤣
2026-10-27 13:44:34
0
To see more videos from user @sayprex.clearing, please go to the Tikwm
homepage.