umeona ulinzi uwoooo ulinzi ni kabambeeeee yaani kabambeeeee 😂😂🙏💯
2026-10-27 05:02:21
2
Black wukong :
Kuna siku nilikuwa natoka tunduma naingia mbeya mjini nikawa nayaovertake malori kama fast and furious..kumbe askar waliniona muda walikuwa wananisubir relini pale…aisee nilikula faini kama mvua
2026-10-27 04:41:19
1
Liverpool FC for life :
wakiovertake hapo mtasema wao wanavunja sheria kweli binadamu hawana jema
2026-10-27 04:02:36
1
jaivah23 :
2026-10-26 17:55:45
2
Ally_Ally :
wanalinda raia na mali zao
2026-10-27 07:18:40
0
Munene :
hapo kuna mambo hayaa ✌️
2026-10-27 06:39:52
0
Strait f Hormuz :
2026-10-26 17:52:48
0
Osweez Mgevangeo :
Unaona mistari yote imefunga hiyo!?
2026-10-27 05:26:23
0
Franc🇹🇿 :
omba penzi hapo
2026-10-26 15:15:53
0
Seph makwilo :
mtego uyooooh
2026-10-26 20:33:49
1
mzee mswati :
Tanga hii ilishaniotea natanua wakachukua mia na hamsini
2026-10-27 05:45:56
0
🚛babydriver🦺 :
🥺🥺🥺
2026-10-26 18:28:17
0
anodi mrosso :
😂😂😂😂
2026-10-27 05:48:41
0
To see more videos from user @emmanueli095, please go to the Tikwm
homepage.