@islamicswahilinet: SOMO LA MDUDU SISIMIZI KWA NABII SULEIMAN Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 15:01:33 GMT
11508
1758
19
127

Music

Download

Comments

sumailassanemomad
sumailassanemomad :
allha akbar
2026-10-26 15:06:57
2
.interceptor.prayr
Interceptor @ prayrs always :
Wallah,, Allah Akbar
2026-10-27 02:41:28
1
naimamussa881
naima end boka🌹💃🧕 :
Allah akbar
2026-10-26 15:05:29
2
missqaibi
𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛 𝗤𝗨𝗥𝗨𝗫 🧑🏻‍🍼 :
𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡𝐮 𝐀𝐤𝐛𝐚𝐫
2026-10-26 17:18:23
2
abuubakar_nana_
nana :
dwahir she wang
2026-11-06 20:41:02
0
hamad.hlial.hamad
HAMAD HLIAL HAMAD :
sh shukran Sanaa
2026-10-27 03:54:14
1
user454238561077
yaasin :
machallah
2026-10-27 11:25:13
1
dauda.kanumbi
Dauda Kanumbi :
ma challah
2026-11-07 15:44:59
0
khadija.hamisi261
Khadija Hamisi :
Allah Akbar 🙏💯
2026-11-01 05:25:06
0
menoo0896
menoo :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-26 16:32:35
3
amuri965
Le blanc Ram’s :
🥰🥰🥰
2026-10-26 16:56:58
3
mose.fills.ofisiel
Moïse FILS +243🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
😭😭😭
2026-10-28 18:30:22
1
badiwedi19
Abu baker :
@👌👌👌🥰🥰🥰
2026-11-11 18:22:25
0
zaumahoussayngmai
2026-11-12 10:26:25
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About