@kingpin6933: Yaani mungu akiruhusu ukarudi nyumbani salama kutoka safari mshukuru sana 🙏

Kingpin
Kingpin
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 15:54:10 GMT
6911
301
29
73

Music

Download

Comments

zizotheboy
zizo the boy :
huu mwaka unanini kwani
2026-10-27 14:18:02
1
fabianoyusufu336
fabianifabiani336 :
ase poleni San nimepit jioni mpak nimelia ase Ina uma San Hali yawat vip ase
2026-10-26 19:09:39
1
karinga91
mussakayunikaringa91 :
ttzo barabara hii ndo hatari mnapishana
2026-10-27 05:56:00
0
johnsonjg
baraka :
ni mungu pekee
2026-10-27 19:39:50
0
ogpaul063
For Paul 1 :
Dha Maisha ya kweli
2026-10-27 06:42:44
0
princesmsalu
Princes Msalu🦋🦋 :
Mung walinde wapambanaji wote🙏🙏
2026-10-27 07:19:54
0
hussein.mndolwa8
Hussein Mndolwa :
mungu atueepushe
2026-10-27 03:45:37
0
maleek_360
Maleek 🚥🚛🇹🇿 :
inalilah waina ilahi lajuun dah inaumiza sana mungu atulinde wapambanaji wote 😥
2026-10-27 04:38:14
0
mahamoudrajabu11
JITU PORI :
mungu atutangulie kwenye mapambano yetu
2026-10-27 16:22:40
0
lellochuwa
lellochuwa :
ni wap hapo
2026-10-26 19:02:06
0
nimrodnyange
nyange nimrod :
nikusali 2 hakuna kingine
2026-10-26 20:12:05
0
user4134529688061
user4134529688061 :
inauma
2026-10-27 02:07:59
0
karinga91
mussakayunikaringa91 :
kabisa kaka
2026-10-27 05:54:42
0
calvnayo3
CALVN AYO :
duuu iyo pulling asee awana miguu woteee😭😭😭
2026-10-26 18:49:09
0
monsterbabuu
Humphrey Humphrey :
iyo buling
2026-10-27 01:07:59
1
twntysixmjeur
yaserboy 🥵 :
mbona kama dodoma hii
2026-10-27 07:54:08
0
nasry.ally8
Nasri Ally :
Daaaah chumaa kibiniii yoteee imekua kama kigodaaa mwenyezi hatulindee jmn cc maderevaa
2026-10-26 22:25:17
0
hassanmsweeden
Hassan Msweeden scania :
yule der wa Rohan waliomshusha yule muhehe yule mmmm
2026-10-27 11:30:28
0
To see more videos from user @kingpin6933, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About