@nathanchilambo23: Vibe la ushindi#chilambo #simbasctanzania #millionviews #nbcpremierleague #highlights

Chilambo20
Chilambo20
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 16:04:02 GMT
62434
6056
82
39

Music

Download

Comments

user3625177252278
Nyanduwizzy123 :
my brother unairudixha furaa Simba respect xn my brother
2026-10-26 21:43:29
0
vitalis.kayombo
Lonely wolf 🐺 :
Displined man tanger casal
2026-10-26 19:44:02
0
ndete14
Sinta kileo :
Simba tuna upendo sana
2026-10-26 17:29:21
9
momy.jj20
momy JJ2 :
chilambo simba wakishindwa kukulipa nitakopa nitaiba nikulipe ubaki simba 2
2026-10-26 18:27:15
9
userhfzp01xd12
Ndarilo city 26 :
Kak huu ndo mwaka wako wa mafanikio pambana sana ila usisahau kufanya ibada coz wenye husda ni wengi mno hasa yanga🤣🤣🤣
2026-10-26 16:11:38
6
sherry.omary
Sherry Omary :
kuna tim yenu..arfu kuna tim yangu simbaaaaaaaaaa🥰
2026-10-26 21:32:20
1
santuslaulent339
Santus Laulent :
iv chilambo wew unacheza namba ngapi maana kote nakuona wew tu alafu unaziweza zote🤣
2026-10-26 16:16:33
6
ludanga.rashid
Top Striker :
Nilikuwa Sikufahamu nikauliza huyu dogo mwqnzo alikuwa wapi mbona fundi wa ball huyu ?.cheza bali mdogo wangu unaonekana💪💪💪
2026-10-26 18:39:42
2
currybae12
𝕷𝖎𝖑 𝖇𝖍𝖆𝖉𝖉𝖎𝖊🦋 :
Ila kwann kagoma akutukane jaman😂
2026-10-26 20:09:16
1
kismart12
kiss👄 :
simba yangu
2026-10-26 20:17:52
1
user4197206399131
kumbuka msabaha :
kaka kwani ulikuwa wapi mda wote
2026-10-26 16:45:21
1
ramdhani.hamisi
Ramdhani Hamisi :
simba nguvu moja
2026-10-26 21:18:48
0
suuhmamy.love
Suuhmamy Love :
lov
2026-10-26 20:49:25
0
sheillah.azizi
Sheillah Azizi :
huku kwetu raha tupo
2026-10-26 21:23:24
0
tz6390
baby smile 🥰 :
ila chilambo 🤣🤣 anatuchanganya
2026-10-26 16:23:16
1
justinemkwaigmail.com
🦁 ♌ MAESTRO JR 10 ♌ 🦁 :
mjomba namba gani Una cheza mana kila seeemu upo vipi kwani wasameeee basi walio kuzalau mana Una hasila sana
2026-10-26 21:09:19
0
khadija.s9941
Khadija Mfamao :
jamn ivi mmemzingatia chilambo anavocheza ilo sebene kitajiri umetisha
2026-10-26 21:15:01
0
husna_tz_8
@yussam.clasc 🤘 :
Mnatupa heshima kitaa kwakweli mungu awalinde sana miamba yetu🥰🥰🥰🥰
2026-10-26 20:34:24
0
amiryluzilo0
amiryluzilo :
chilambo mtu bora sana ssc
2026-10-26 20:47:48
0
balloteri.waziri
Balloteri Waziri :
pambana mdogwangu Mungu yuko pamoja nawe
2026-10-26 19:39:26
0
daudi.yohana65
Daudi Yohana :
kaka vp
2026-10-26 20:10:59
0
kelvinlaurian197
Kelvin Laurian :
watt wa nyumba moja furaha ndio kitu ambacho 🔥
2026-10-26 20:10:54
0
mashaurishabani1
Mashauri phone covers ArushaTZ :
Rahaaaaa
2026-10-26 20:19:12
0
ester_massawe
Ester_massawe :
mwambien uyo kipa akiwa apo golin awe makin kuna mda simwaminig uyu jomba😌
2026-10-26 20:02:26
0
yasimin973
Yasimin :
simba
2026-10-26 16:08:09
0
To see more videos from user @nathanchilambo23, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About