@ntvkenya: Nini Sababu Ya Ajali Ya Mtito Andei? Manusura wa ajali ya Mtito Andei iliyogharimu maisha ya watu 24, wanasimulia yaliyotangulia kabla ya ajali hiyo. Majeruhi katika Hospitali ya Makindu Level Four wanafichua kuwa kulikuwa na mvutano miongoni mwao kuhusu siku ya kurejea Mombasa. #NTVJioni
my sincere condolences to the entire families of the deceased 🙏 😢
2026-10-27 19:07:55
0
yvy :
Lost my neighbour together with her 3 siblings😭
2026-10-27 01:23:12
80
It's Mathenge :
1.careless overtaking is the main cause.
2. Fatigue
3 free wheeling
2026-10-26 16:37:20
184
( 440 )🐂🙏 🐄✅ :
ak pole😭
2026-10-27 18:20:50
0
rwachofi :
Nilishuhudia hili Na macho yangu...guys let's pray we have a better ending but not the way it happened 😭
2026-10-26 19:08:43
63
black.gal.gmail.com :
i lost my cousin from there,rip Wilfred go with the angels😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-27 18:03:56
1
Hon Vital Otieno :
always trust instincts
2026-10-26 17:43:22
100
bossety :
fatigue is the most common reason of every fatal accident in our roads followed by poor infrastructure the careless driving
2026-10-26 18:56:21
35
🍒🌸Nikkie-Nash 🌸🍒 :
Hizi trailer ndio shida juu most of the time ni lazima tu trailer iwe involved.. so sorry for everyone involved 🥺🥺
2026-10-26 20:17:35
14
user59571652795321 :
poleni
2026-10-27 09:34:02
0
naaah.jus_a.random_guy :
Yaani, Nairobi - Mombasa road is killing hundreds of people each month, yet the president of the republic of Kenya is talking about building an expressway in thika?🤔.... enyewe we failed as a country 💔😭😭
2026-10-26 20:08:54
15
hanzuan al-kindy :
shida ni dereva wa shule ambao hawana uzoefu wakuendesha bus usiku
2026-10-27 07:37:50
10
JAY WA THIKA🍍 :
huyo dereva tulitoka pamoja hapo mtito after stop over but alikua amechoka na usingizi ata alikua anapiga simu anaongea na mtu mwingine akimwambia amelazimishwa kuenda na amechoka sana tukafuatana but after 10km ndio aliwezwa zaidi
2026-10-26 18:16:32
67
sarafina :
Lost my Uncle 😭 in this accident 😭
2026-10-26 19:45:34
6
its me vaiper💥💎 :
raha ya milele uwape eeeeh bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani
2026-10-26 19:08:01
15
Samuka862 :
fatigue... distance from Mombasa to Kakamega and back na driver hanja soea
2026-10-26 19:51:23
5
MARIANA :
Sai niko kutu u
2026-10-26 18:22:19
5
annabel mutunga :
Waliosoma Tumbo Lisilishiba wanaweza wakafahamu hili tukio kurejelea hadithi ya *Nizikeni Papa Hapa*
2026-10-26 19:32:26
13
Masha_rides🇺🇸🇰🇪🇭🇲 :
na president anajenga thika expressway badala aweke Mombasa road ikue dual carriage
2026-10-26 19:11:44
5
Cheserem Chessy (Mamatwins) :
safari ilikuwa refu wangekubali wasafiri the following day...anyway mipango ya God haipanguliwe.Poleni
2026-10-26 18:36:12
11
kandie :
never argue about traveling
2026-10-26 17:53:27
10
user1706781301993 :
bona mulanzimishe dereva kuedesha kama amechoka
2026-10-26 18:22:56
6
Trovaz ke' :
wenye husema ati viti za nyuma ni safe ona sasa wanyuma ndio waliumia ....so isipokuwa ni God akuna mahali uwezi patwa
2026-10-26 19:15:25
5
To see more videos from user @ntvkenya, please go to the Tikwm
homepage.