Kama mimi akati nimepanga mwananyamala 😂😂😂 nikipita mpaka nasalimiwa Shikamoo lekcha wake anti
2026-10-27 07:58:11
10
Mpotola✨ :
Leo hakuna makonzi 😂😂😂
2026-10-26 16:35:42
16
Let it slide :
Ndugu Yangu Kwann mnapost tu bila kuwapa watu wengine Kusikiliza Ndugu yangu. Clip inaweza kuwa nzuri sana, jambo dogo likaharibu, Japokuwa hadhira ya wengi haielewi hilo Neno lakini hadhira ya wasomi wanaona Kama hamfanyi mapitio vizuri ya videos Hizi.Okey Mkufunzi wa Chuo haitwi Lecture( Lekcha), Lekcha hiyo wanayoitamka hao wote ni Kitendo cha kuwasilisha au kufundisha, Insturctor yeye ANAITWA Lecturer( Lekchara). Hili ni Tatizo la Undergraduate wengi sana sio hao tu. Hivyo makosa hayo yasiendele
2026-10-27 12:14:26
2
GETO LA MWANACHUO 🎓 :
hahahaha
2026-10-27 05:21:24
7
crocusHimselff :
Jiandae kwa Sup 😂😂😂
2026-10-26 17:06:38
12
RASHIDI williuse :
wakwanza leo kwenye commentaire 🤗
2026-10-26 16:34:18
3
villah collection :
ila nick😁😂😂
2026-10-26 21:47:10
0
🎀🎀mom Geee🎀🎀 :
leo Mimi wakwanza kwenye kulike jomoni[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-26 16:36:01
1
Mr.lowkey😶🌫️😎 :
mwanangu uyo😂🙌
2026-10-26 19:44:45
0
🍃Abby🍃_👣. :
usimkimbie kabisa
2026-10-27 12:28:58
0
mc kadada :
hii noma
2026-10-26 18:30:15
0
CISA⚡KID💥🌟 :
kwanin kigambon
2026-10-26 18:58:55
0
Nicodemas_Silu@ :
😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-27 10:25:10
0
mlatino :
2026-10-27 08:06:10
0
Clon miwani😎🧸 :
Wengi sanaa😂😂
2026-10-26 17:30:08
1
my mee 🌹🌹🌹🌹 :
2026-10-26 16:36:01
0
Cindydativah🦋🩵 :
2026-10-26 19:19:39
0
mlatino :
2026-10-27 08:06:05
0
PAPI MABANANA🍌🍌 :
nmemuona shafik apo
2026-10-27 13:03:53
0
david_comics :
MBUZIIIIII🎂🐐🔥🙌
2026-10-26 18:18:41
0
mlatino :
Kigambn mwasota
2026-10-27 08:02:09
0
Gwaru :
NJOO MABIBO UJIONEE KAMA UTITILI 😂
2026-10-26 16:57:22
3
mirac_keim :
nilitak nishangae konzi likose kivip thatha
2026-10-26 18:09:20
1
erick boy chuga :
akifika 1k ninazawad zenu😳😳😳
2026-10-26 16:34:31
3
nickshan_tz :
Huyo kichaa 😅😅😅
2026-10-26 16:35:16
1
To see more videos from user @mr.sutiofficial, please go to the Tikwm
homepage.