@abdulqadirmasuo:

Ustadh Kadiri
Ustadh Kadiri
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 26 October 2026 16:39:11 GMT
4763
139
18
8

Music

Download

Comments

abuuzakir1
abuuzakir :
sheikh huyo kakosea niuchungu ila masheikh wahusika ukisema hawausiki itakua ni urongo kwa nn wasiongee miskitini wajitokeze waende mahakAmani hio ndio kusema masheikh mbona kimya ?
2026-10-26 19:16:18
1
saidseif477
anu :
we umesahau Allah akisema taamuruna bilmaarufi wa tanhauna anilmunkar pia wasahau mtume aliposema man raa minkumulmunkar valyughayyiruhu
2026-10-26 18:10:00
1
barka_boutique
Barka boutique :
wahusika sana wa create awareness kwa community
2026-10-26 17:58:03
0
halaaaaa913
halaaaaa :
subhanallah duh
2026-10-26 19:38:56
0
miracle.man61
miracle man :
adhali umjibu mashekhe ni watu wa hekma hawaongeii kwa TikTok bila ya ushahidi
2026-10-26 18:28:54
0
user8391948172163
Mwaligulu JR :
kunyamaza ni imani dhaifu mkuu,
2026-10-26 18:26:46
0
dahman.28
donval28 :
amedhalilisha mashekh kwa kusema wanaonga mkono
2026-10-26 19:20:33
0
user1495518587534
user1495518587534 :
Sana makosa
2026-10-26 19:18:01
0
just_scrolling96
Maryam Muhammad :
nikwli kwanini wanaiyamaza
2026-10-26 19:09:51
0
user5429324793443
user5429324793443 :
madhehe au wanafiki
2026-10-26 18:42:50
1
user72027786930918
habiby :
zungumza polepole kwa wakimbizwa?
2026-10-26 17:41:09
0
therealironlady1
👑 IRON LADY 👑 :
asalam alkum bro jambo la kwanza wacha nikurebishe kazi ya mashekhe ni kuilimisha jama kutangaza ndini na kukataza maovu ikiwa wao hakuna hata moja aliye njitokeza wataka tufanye nini lazma tulaimu tena usiendelee kuongea kama hafamu unacho kisema watoto walawitiwa wao wameketi kimya hamujuwi uchungu tunao pitia
2026-10-26 19:07:10
0
a.t.m930
🏧A.T.M :
Itasaidia nn?????? Ww mzima kweli??? Masheikh wanafaa waelemishe watu jinsi ya kufundisha watoto na hatari ya janga hili
2026-10-26 17:49:42
0
user1034795263598
Dr Abed yunus :
KAUMU LUT IS A GR8 SIN ACCORDING TO ISLAMIC LAW.ITS A BIG RESPONSIBILITY TO SHEIKH TO ADRESS LGBTQ JUST LIKE OTHER SINS DONT B BIAS BRO.
2026-10-26 18:30:10
1
To see more videos from user @abdulqadirmasuo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About