Gari ikitembea na mzigo lazima iwe na Bima ya mzigo ukiachana na bima ya gari
2026-10-27 04:27:08
2
lizzo k5 %% :
vioo. muhimu. kuliko. watu. daah. anaezungumza wakuta nidereva yan
2026-10-27 08:31:36
1
user5306351741051 :
kwanza wewe uaongelea mzigo dereva amekufa mbona umuongelei ameacha mjane😭
2026-10-27 04:29:31
3
othuman salum :
mali unaona ni bora kuriko uhai wa mtu
2026-10-27 03:45:48
3
genge_mbeya :
Kampuni za usafirishaji nyng zinakuwa na bima maalum inayocover mizigo inayoisafirisha ambapo ww mwny mzgo pia unailipia kama sehemu ya gharama za usafirishaji na kwa muujibu wa sheria kam mkataba wako na msafirishaji haujakutaka uwe na bima ya usalama wa mzgo wako basi chochote kitakachotokea wasafirishaji ndio watakaohusika kukufidia ww mzgo wako hatakama ukiwa haujaukatia bima mzigo wako. Ivo basi mkuu usipotoshe umma sabab hujui makubaliano ya hao wawili apo 😁
2026-10-27 08:44:00
0
Kenedy Mwambegele :
sawa bima je? kuna bima kurudisha uhai
2026-10-27 06:52:52
0
sniper..23 :
yaan uhai wa mtu hauna dhaman kwmba mali ndo inadhamni.bro si poa tengea kauli..we are brother's
2026-10-26 22:17:24
3
user6012271967096 :
Gari ya vioo vilitokea kampuni gani
2026-10-27 06:15:43
0
Bashir257 :
Daaah nilipit hap jan noma saana
2026-10-27 07:32:00
0
@OLLE SAMBERU :
sasa mtu ana mtaji wa gari 10 hiyo moja haiwezi mtingisha kawaida tu
2026-10-27 06:52:07
0
mo Pao :
sawa mwanetu kabisa kama binadamu unae pumua bule unazungumzia vioo na gari wakati kuna watu wamepoteza maisha au sio
2026-10-27 07:07:09
0
mshana ♍️ :
Unaongea mamb ya bima za mizigo na gar muda uo kuna watu wamekufa
2026-10-27 06:42:38
0
Said wangubo astarco :
jamani mnajali kuzungumzia mzigo nasio walio poteza maisha
2026-10-26 20:56:42
0
#mbishiJ :
nlivoona t ivo vioo vipo ivo nikajua kabisa madereva hawawezi kua hai kuna wanawake wenzetu washabaki wajane r.i.p wapambanaji na mwenetu mungu nilindie mumewangu na madereva wote[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-27 05:00:25
2
HAMAD HLIAL HAMAD :
allah akbar 😭
2026-10-27 05:34:19
1
user6012271967096 :
Ivi hapo bank hawakuelewi yani 🥺
2026-10-27 06:14:13
0
almangush :
ukisikia pesa sio kitu
2026-10-27 04:11:16
1
jeshi :
ajari zimekuwa nyingisana toka wazishe mamboyao yakusoma sijuinini yani imekuwa shida tupu mnatupa mawazo madereva unaendesha gari unamawazo kibao mungu atusaidie tuu
2026-10-27 03:56:28
1
ROAD LIFE 💸 :
Bima inalipa kila kituu mkuuu 😁😁
2026-10-26 20:13:20
1
Bobu Kimaro :
Ila tofaut na bima ya gar vioo huwa havisafirishwi bila bima
2026-10-27 09:02:52
0
Nicko Mli :
Nimeshuhudia vizuri kabisa Rohan dereva kaharibu
2026-10-27 09:03:44
0
Sharif Athumani :
Vp kuus deleva
2026-10-27 09:34:12
0
Wile boy truck driver tanzania :
inalilah wahinalilah rajun
2026-10-26 21:33:08
0
To see more videos from user @dr_chriss_2, please go to the Tikwm
homepage.