@yhackerxl: Unaweza Kuona Tofauti Hapa? ⚠️ Kuwa Makini na Homograph Attacks! ​Wadukuzi wanatumia herufi zinazofanana kutoka lugha tofauti (kama Kilatini na Cyrillic) kutengeneza tovuti za bandia zinazofanana na zile za asili ili kuiba password yako! ​💡 Dalili za Kushitukia: ​The "xn--" Prefix: Browser yako inaweza kubadilisha anwani na kuonyesha jina linaanza na xn-- ikigundua mchanganyiko wa herufi. ​Password Manager: Programu yako ya kutunza password inatambua tovuti halisi. Ikiwa ni bandia, itagoma kuweka password yenyewe! ​Maelezo madogo ya kiufundi yanaweza kuzuia akaunti yako kuibiwa. Hifadhi video hii na ushare na wengine! 📲 ​#KennyTech #CyberSecurity #Phishing #HomographAttack #Unicode

kenny.nnko
kenny.nnko
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 17:41:47 GMT
10956
403
10
30

Music

Download

Comments

nohope829
No 🙂‍↔️ :
No, Kwasasa kuna kitu kinaitwa DLSA Kwenye Domain registration so hiyo kitu haifanyi Kazi Miaka ya sasa, Yaani uwezi Kuunda, au kununua domain moja kwa kutumia elufi zinazofanana. Mimi nafanya Kazi Chini ya Taasisi ya Taifa ya Communication & Data Science, so kwenye regist now Hakuna kitu kama hicho na kimeshatibiwa duniani kote, the only thing remains is Email Spoofing na Tu kama email-domain yako ujaweka DKIM, SPF, na DMARC. Kinyume na hapo Hakuna Hacking Vulnerability hiyo kwa Miaka ya Hivi sasa.
2026-10-27 21:57:22
3
michael.gilasi
ChiefMadinda💥 :
you're doing a good job , keep it up 💪
2026-10-27 18:17:14
0
mohamedakidan
Mohamed Akidan :
Tunachunguzaje wenyewe?
2026-10-27 18:47:33
0
rajabmakame7
closer look :
2026-10-27 15:52:50
0
mouser_cn
ꪑꪮꪊ𝕤ꫀ𝕣_ᥴꪀ :
😳
2026-10-27 18:11:51
0
cyber.mwalimu
cyber :
😎
2026-10-27 11:01:18
0
pablo_virg00
Harold :
[Fire][Fire][Fire]
2026-10-27 10:48:45
0
thisissirdy
TheMonk :
🤝🤝
2026-10-27 19:20:12
0
To see more videos from user @yhackerxl, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About