kwanza nikupongeze shehe othman maalim kwa kumzuru shehe wa mkoa.
ila pili nmependa sana suala la kujishusha kwako kwenye salam.mkiwa zawiyan tunafundishwa salam za kubusu mikono yenu mashehe kuonyesha hesma nk.lakin wanaposalimiwa kwa namna hyo baadhi ya mashehe wanakataa kutoa mkono eti ataonekana anaabudiwa,kama mnaogopa basi wasitufundiahe salam hizi
2026-10-27 21:08:41
0
Awess Hussen :
Mashaallah Allah awape kher na uzima masheikh zetu
2026-10-27 06:46:41
2
AL-GHAZAL 💬MAULANA💥💫 :
mtu uyo
2026-10-27 08:49:01
1
samayra :
Masha Allah Shekhe wetu Allah ampe afya bora na umri mrefu
2026-10-27 17:56:35
0
zanzibar07 :
mashallah niwe muwazi namkubali san Othman maalim
2026-10-27 11:13:16
4
zanzibar07 :
mashallah 🤲🤲
2026-10-27 11:15:02
0
officialyasco_ :
🥰🥰🥰
2026-10-27 12:53:24
1
To see more videos from user @maluisaac4, please go to the Tikwm
homepage.