@salmasaid_znzyetu: Wananchi wa Kijiji cha Fumba wamekataa kufanyika kwa tathmini ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji, wakieleza kuwa bado kuna utata kuhusu mipaka iliyowekwa. Wamesema hawakubali uwekezaji unaokwenda kinyume na mila na desturi zao. Wamesisitiza kuwa wanataka maendeleo, lakini yawe na manufaa kwa wananchi wa sasa na vizazi vijavyo, na yazingatie maslahi yao. Mussa Mohammed Mkadam na Said Issa Kirobo wamesema vijiji vya Fumba na Bweleo vimeathirika na kile wanachokiita uwekezaji huo.
Salma Said
Region: TZ
Monday 26 October 2026 17:51:06 GMT
Music
Download
Comments
Ahm3d LaO :
Mitraaaaano treeeenaaaa yajayooo neema truuuupuuuuu
2026-10-27 08:21:17
1
Abuu Rogo :
hamsikilizwi kwbb hiyo ni order ya system. uwekezaji ni ukoloni mamboleo.
mfumo wa demokrasia humuangalia raia kwa jicho duni
2026-10-26 19:58:52
1
Ak :
daaaa nahis ndugu zangu mnapta shidaaaaa poleen ila najua hamnafaida mtakayoiptaa isipokuaa majutooo poolen
2026-10-26 18:38:44
3
Hafidh :
mtihan akiamungu watu wanateseka zanzibar yani mpk wanatia huruma viongozi dunia tunapita tu hapa
2026-10-26 23:32:26
1
Hamad Abdallah :
Hio ndio democracy
2026-10-27 12:54:03
0
samo elnino :
watu wanazulimiwa
2026-10-26 20:45:33
1
Kh Ch M :
Asante I Wana kiji wa kwetu Fumba ila vikao kama hivi na mm niambiwe sababu no muhanga pia
2026-10-27 05:14:21
0
Abuumuadh16 :
nchi nzima atapewa muwekezaji aminini ilo
2026-10-27 10:43:19
0
bambera :
walikuwa wapi siku zote
2026-10-27 09:39:53
0
thuu :
kuekeza huko hakwishi.kila Sehem kuekeza wakati wahusika wa maeneo yao wanazidi ufukara.
2026-10-27 04:21:24
0
Chesco Babloo :
HAKUNA SEHEMU WANANCHI HAWALALAMIKI TANZANIA.
ILA SIJONA SEHEMU VIONGOZI WAKALALAMIKA TANZANIA.
2026-10-27 06:08:45
0
didah :
mmmhh! hatar sana
2026-10-26 20:53:12
0
Abdulhamid Mohame495 :
fumba ipi iyo
2026-10-26 19:55:08
0
tz,zaza :
iyo liini iyooo
2026-10-26 19:07:41
0
Island soul & safari :
musikubali izo tatmni zitakutumbukieni nyongo
2026-10-26 19:16:25
1
PIRIKA NO ONE :
mushateuliwa mawaziri wawili ikulu kuondoa malalamiko ya fidia 😁😁 kikiwa Si haki yako hakikosi misukosuko
2026-10-27 06:11:46
0
user31455934539733 :
yajayo yanafurahisha
2026-10-27 09:40:57
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.