Mungu tusaidie maana vitu vingine watu wanaiga atujui mazara,, Damu ya Yesu ituokoe
2026-10-27 05:56:31
2
Miss amaizing Care :
Hizi story zimeanza kurudi tena? Kuna muda zilitrend saana
2026-10-26 19:51:53
2
Mercy :
Mungu tusaidie🙌🏾
2026-10-27 06:45:29
3
marycosmetics :
Neema gospel aliyeimbisha hio clock it aliisema kwenye wimbo wa lango😳
2026-10-27 08:53:45
0
michellesaronga :
haya mambo yapo na hilo alilolitaja hapo linafanyika mambo ya ajabu MUNGU utusaidie
2026-10-27 04:47:33
1
Fridah Kasaya :
Asante dadangu Kwa mafunzo
2026-10-27 09:54:58
0
b :
ndo maana mm sipend kabisa
2026-10-27 09:18:23
0
Mary :
Sa itakuaje😅
2026-10-27 07:01:12
0
biggeooos :
Yesu Asante maana kazi za Giza Zina angazwa kwa Jina la Yesu Kila roho ya uharibifu ikashindwe na kutoweka isaya 60
2026-10-27 07:41:18
0
leahlema :
Mimi siachi bn 😂😂😂😂
2026-10-27 09:40:28
0
G..love❤️ :
tanzania nzima tumejiunga na
2026-10-27 08:16:13
0
Kamamaa :
nazikataa kwa jina la YESU KRISTO
2026-10-27 06:56:42
4
wilson :
Shuhuda za kuzimu hazijengi sana sana ni kuleta hofu acheni shuhuda hizo
2026-10-27 04:35:40
0
Above only 🙏❤️ :
ninachokishauri msipende kutoa maelezo ya shetani yako je habari za MUNGU pekee ndizo zatakiwa zihubiriwe na kutolewa maelezo habari za kuhubiri habari za shetani ni kumpa sifa
2026-10-27 04:52:12
2
solar energy system :
wachawi ni waonez san vidole vyetu mili yetu ila mnaanza kutupa mashart kutumia unatuunga na mavitu yenu mshindw kwa Jina la Yesu, alie tuumba ndio anatakiwa kututumia ambae ni mfalme wa mbingu na dunia Baba alie juu mbingu Mungu wa watu wote na vitu vyote 🙏
2026-10-27 06:33:44
2
Alsaadat Merchants |MSA..VOI :
kwakweli hapa hixi n michongo tu za biashara kwa jina ya yesu hebu tuache hixi tabia za kipepo
2026-10-27 06:55:08
0
Above only 🙏❤️ :
mtu akishafunguliwa akulie wokovu pekee
2026-10-27 04:52:38
0
WairimuMwas311 :
kuvunja Nazi kuumanisha nikufunga mtu na Yai je
2026-10-27 09:50:34
0
Abigail :
😳😳😳
2026-10-26 20:16:02
0
To see more videos from user @connecteastafrica, please go to the Tikwm
homepage.