Kujua ni hatua ya kwanza, tunachohitaji ni mbinu za kulea watoto katika zama hizi ya technologia na ubusy wa maisha.
2026-11-02 10:48:23
3
Slim Mwinyijuma :
hakuna kuna watu wazima tunaangalua animation
2026-11-07 11:57:41
0
abdillahkhamis797 :
kweli kabisa wazazi lazima wajitafakari katika hilo
2026-11-06 11:46:22
1
Sharon Nekesa :
mm mume Wangu ndio alikua anaharibu watoto wake Ila Sasa nmekua mkali ,,,wakila tu Ivi kulala mchana kucheza Na wengine staki mambo ya kidigitali mm
2026-11-04 20:25:24
1
mom nargis :
na viboko jee wapeni katuni za mahaba haba
2026-11-06 19:31:20
0
Liberatus :
kweli kabisa mchungaji [Pray][Pray]
2026-10-28 13:36:32
0
mrs.Geoffrey :
wangu aliadhirika Hadi sasa ako na miaka tatu na hajui kuongea na ni mkali kwelikweli.
2026-11-01 22:58:32
0
happie💦 :
sasa jmni tufanye nn sisi coz nyie wenyw mnashauri tuwape katunii wa watch
2026-10-28 11:00:39
0
dicksonpetter61 :
Hata kutoa sadaka ni madawa yakulevywa kwa waumini na ni mchungaji yupi ambaye anakata sadaka nakuwapa waumini ambao hawajiwezi
2026-11-05 19:54:17
0
kila :
ni kweli
2026-10-29 11:52:11
0
Rebecca😍 :
tena sisi wamama ndo tumezoa hili
2026-10-27 07:57:12
1
BWANA MCHUNGAJI WANGU :
Familia mingi hiyo ndio unapata wamèekea watoto wao kwa tv ,na ukijaribu kukoment hapa online ni mbaya ata kulingana na mambo mengi wanalea watoto nayo ,utatusiwa sana
2026-10-27 12:56:07
2
atukuzwendossa :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-01 05:28:56
0
To see more videos from user @threeangelsmessages, please go to the Tikwm
homepage.