@phoibe_mbaga: Usikurupuke rafiki yangu, neno ningejua huja mwisho wa safari😀😀 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktz🇹🇿🇹🇿 #tiktokcongolais🇨🇬🇨🇩 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬
ivi dada mtu akuudumii kwa chochote sasa si bora uwe mwenyew
2026-10-27 18:15:20
0
BG DECOR Molders :
hawaezi kuambia...wanataka upitie pia
2026-10-27 04:14:35
0
Salum Kibila :
upo sawa
2026-10-27 07:37:37
2
user325015809840 :
baaas hapo sasa nani kweri kabisaaa
2026-10-27 06:20:43
0
😥😥 :
mtu anajua kabsa mm fundi niliejiajili bdo ukirud nyumbn anafoka kwann nimechelewa
2026-11-03 12:25:01
0
EZFABUSINESS :
shukurani
2026-11-01 14:51:06
0
Mbozione Mase :
dada samahani SI Kwa ubaya, je una mume?
2026-10-29 20:16:53
1
🇰🇪 إبراهيم :
Kuna jambo linalonisumbua, mke wangu bila ya kutarajia, alinijia kaniambia ashachoka na ndoa, hisia imeshuka na alikuwa ywataka talaka, kwa upendo nililokuwa nalo kwake, sikumpa talaka manake nilikuwa nasubiria huenda aabadili nia. Aliondoka na baada ya miezi sita, alirejea mwenyewe, sijawahi mwuuliza, na lanikwaza kwanini aliyafikia maamuzi ya kuondoka
2026-11-18 16:35:51
0
Call me MCHIZI_MØks😎 :
mi wangu kasema wazazi wake bado wako hai 😁😢😢
2026-10-28 11:22:26
0
Ramadhani kapufi :
Me bado sina iman kama kuna mtu hakuelewi 🤝
2026-10-28 14:32:50
0
MR k1 :
they will not learn ata mungu akuje
2026-10-28 10:04:00
0
user1731505424922 :
Nikweli kabisa dadaang
2026-10-27 17:53:12
0
baba boyx :
mombasa
2026-10-29 14:49:58
0
Maige Josephat :
Dada phoibe Mbaga Hawa wanaotaka nje ya ndoa kabla hawajajipanga ni wasumbufu sana tena isipokuwa sawa ww mwanaume hata ukiwa umeona atakuharibia na hapo ulipojijenga tena.na ndiyo waliyoanzisha na hilo dawati la jinsia
2026-10-27 16:25:06
0
meku meku :
wamekatwa vichwa
2026-10-27 06:28:48
0
baba boyx :
nimeshalipia ulinzi wako
2026-10-29 14:49:41
0
Momida Traders :
awaelewi wapange wacje leta lawama
2026-10-27 13:53:39
0
Essau miluzi mingi953 💔💔 🫵 :
🥰🥰🥰
2026-11-08 23:02:27
0
Justine Mramu :
😂😂😂
2026-10-27 14:01:14
0
The star :
🤣🤣😂
2026-10-27 11:32:13
0
eliya mutishib :
🥰🥰🥰
2026-10-26 21:11:12
0
Jeff🤑 :
hawasemi ukweli
2026-10-27 06:32:01
2
amani Chance Rukebesha :
😂😂😂
2026-11-24 19:20:23
0
Esteban Jongwe :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 17:42:58
0
Vérité Forever :
@🤣🤣
2026-11-22 04:14:42
0
To see more videos from user @phoibe_mbaga, please go to the Tikwm
homepage.