@jobee101: Guys, do you remember these fruits? 😍🍒 Kwetu tunaziita Songwe! 😂❤️ Je, huko mliko mnaziitaje?#africanfruits #tiktoktz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #fypシ゚viral #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp
Melaningenuine
Region: TZ
Monday 26 October 2026 18:42:52 GMT
Music
Download
Comments
Princess Neymah :
tungushaa wachaga wa rombo olele like hapa[Heartwarming]
2026-10-28 11:17:19
0
Chichi's :
zenji tunaita mbirimbi za juice
2026-10-28 12:03:06
0
Mwalimu Jiko | Mapishi :
vidadaria, wagweno au nimekosea [Tears of joy][Big LOL]
2026-10-28 11:41:49
0
JOY :
ntuntunuuuuuuu[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-27 16:09:39
0
aries cute♈♈ :
sasa mbn hamkusema kama yanaliwa jaman
2026-10-27 12:08:35
28
Mrs y :
BUKOBA tunaita mantununtunu....! so amaizing
2026-10-27 07:52:32
8
#mbishiJ :
leo ndo nimejua kwamba yanaliwa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 10:21:56
36
mihrimaah :
machupwa😂
2026-10-27 07:21:07
3
pendo moses :
umenikumbusha mbalii
2026-10-27 09:29:17
4
aisha ikram :
kazi yake nn
2026-10-28 08:23:21
0
Bint Haidary :
kweli sijamaliza kuzunguka dunia
khee ivi ni matam au
2026-10-28 14:28:59
0
mrs :
wapi my iyo
2026-10-28 08:13:31
1
Xmnl_ kiganza :
yanaliwa?
2026-10-26 18:57:35
0
Christina loshi urassa :
yanaliwa.jamani Mimi nimeyala sana
2026-10-28 05:01:07
1
florah697 :
ndi matunda gani hayo
2026-10-27 09:05:45
1
Agness Nkugwe :
Wapi huko? nayahitaji dah! kumbe bongo pia yanauzwa? nilikuwa nayakuta poring 2024 nikayakuta nchi flan yakiuzwa nikayafakamia balaa🤣🤣🤣. Naomba location
2026-10-27 22:53:06
0
jane store :
kwani zinaliwa
2026-10-27 12:39:04
2
Ray felix🫶🌹 :
Duh songwi kitambo sana
2026-10-28 13:50:19
1
Parker06 :
mbn kama yana chumvi sana taste yake😳
2026-10-28 04:45:24
0
brinah 567 :
hadi haya yanauzwa jaman 😂😂😂
2026-10-27 09:39:18
0
mannKing :
wasambqqq wanajuq
2026-10-27 12:21:17
2
martha✅ :
Yanaliwa 🫣
2026-10-27 14:20:47
2
Ruks :
haya matunda tulikua tukila tuenda kuvuja kuni msitumi yalikua mingi kwa msitu
2026-10-27 10:55:47
2
KWIOO_GSM WATER :
jamani uku kwetu yamejaa hatuli sisi haya
2026-10-28 04:11:48
1
Nana💘love077 :
kwani yanaliwa Ayo madude😂
2026-10-28 02:34:19
1
To see more videos from user @jobee101, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.