@jazlenenjab6: Learn how to make the viral “Not bro, getting arrested again” AI arrest edit! Super easy CapCut template, just upload your photo. Try this funny prank trend for yourself🔥 not bro getting arrested again snapchat arrest prank capcut ai arrest trend capcut not bro getting arrested again template how to make not bro getting arrested again viral arrest prank edit capcut arrest ai filter funny police arrest trend snapchat arrest viral trend one photo arrest edit capcut #NotBroGettingArrestedAgain #AIArrestTrend #SnapchatArrestPrank #capcut #capcutpioneer

Julia❤️
Julia❤️
Open In TikTok:
Region: US
Monday 26 October 2026 18:45:46 GMT
1237
24
4
38

Music

Download

Comments

goddestk146
prettylilchaos_kay :
can you see on your homework and send me the horror packet cuz I need help send me the number personfj Queen of the queen zombie the😁 I said ice crea
2026-10-26 22:04:54
0
goddestk146
prettylilchaos_kay :
I like people baby video I like what I like Little Pony please😇😃😁😆😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇
2026-10-26 22:03:51
0
goddestk146
prettylilchaos_kay :
gdgxgn the F word what the answer the f word
2026-10-26 22:03:08
0
To see more videos from user @jazlenenjab6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

ISHARA 5 ZA MTU ASIYEKUPENDA KWA DHATI 📌 Si kila mtu anayekaa karibu nawe anakupenda. Wengine wanapenda uwepo wako kwa sababu ya kile wanachokifanya kupitia wewe, si kwa sababu ya thamani yako kama mtu. Mtu asiyekupenda kwa dhati unaweza kumtambua kupitia mambo haya: 1. HAFURAHII MAFANIKIO YAKO. Unapopiga hatua, badala ya kufurahi pamoja nawe, anaanza kukukosoa, kukupinga na kutafuta sababu za kupunguza thamani ya mafanikio yako. Mtu anayekupenda kwa dhati hatakuwa na wivu na maendeleo yako. Atakutia moyo, atakupongeza na kukusukuma kwenda mbali zaidi. 2. HANA HESHIMA KWAKO, HASA MBELE ZA WATU. Mtu anayekupenda hatatumia hasira kama sababu ya kukudhalilisha. Hata mkiwa na tofauti za kimawazo, bado atajua mipaka ya heshima. Lakini mtu asiyejali hisia zako anaweza kukutukana, kukuaibisha na kukudharau hata mbele za watu. 3. ANAKUTAFUTA PALE TU ANAPOKUHITAJI. Uhusiano wenu unakuwa wa kimatumizi zaidi kuliko wa kihisia. Anapokuwa na shida anakukumbuka, anapohitaji msaada anakutafuta, lakini mambo yanapokuwa mazuri kwake unakuwa mtu wa mwisho kumkumbuka. Kwake wewe ni suluhisho la matatizo yake, si mtu anayethamini uwepo wako. 4. HAJALI UNACHOPITIA. Unaweza kupitia kipindi kigumu, ukahitaji faraja, msaada au hata mtu wa kukusikiliza, lakini kwake hakuna kinachogusa moyo wake. Hata unapoumia, haoneshi kujali. Mtu anayekupenda kwa dhati hawezi kufurahia maumivu yako wala kuyachukulia kama jambo lisilomhusu. 5. HAKUSHIRIKISHI MAMBO YAKE BINAFSI. Ni msiri sana kwako. Anaweza kwenda kushauriana na watu wengine, kuwashirikisha mipango yake na changamoto zake, lakini wewe unabaki kuwa mtu wa pembeni. Hii inaweza kuonesha kwamba hajajenga kiwango cha uaminifu na ukaribu unaotarajia katika uhusiano wenu. UKWELI NI HUU: Usipime upendo wa mtu kwa maneno anayokuambia, pima pia kwa namna anavyokutendea. Mtu anayekupenda kwa dhati hatakuwa mkamilifu, lakini atajali hisia zako, ataheshimu uwepo wako, atafurahia maendeleo yako na atakuwepo hata pale ambapo hana kitu cha kupata kutoka kwako... KINGDOM PLATE | FIKRA SAFIRI💫 Kama Unataka Ushauri au Mentorship unaweza Ukawasiliana na Mimi Kupitia Whatsapp No+255719260104 #trendingvideo #flypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #trendingvideo #education

About