Thankyou Jesus I'm Christian [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-28 10:29:37
0
De_firstborn✅ :
kumbe ukweli mnaujua km Yesu ndiye njia ya kwel na uzima 😁😁🙏 TUMSIFU YESU KRISTU
2026-10-28 05:29:27
60
lizzy p 👣 :
yesu ndiye njia na kwer nauzima .... Sisi hatuishi na majini ... yesu yupo ndani yetu
2026-10-27 01:40:20
100
Mama Boys 🥰🥰🙏🏻 :
Bwana yesu asifiwe
2026-10-27 19:19:47
38
dadadignity_store✨ :
Wakristo wenzangu.. Shalom Shalom..✋🏻BWANA YESU ASIFIWE..TUMSIFU YESU KRISTO.. Tuseme Amina Kubwa..Ameeeen..🙏🏻
2026-10-28 08:55:02
5
Emmanuel :
yesu ailimaliza amina sana
2026-10-27 03:35:24
22
TOP BOY 🎩🎩 :
Jesus Christ ndio mganga wetu sisi Wakristo
2026-10-27 01:27:58
36
Rajly :
Ndio maana mtu Muhammad (s.a.w) nibora kwa Allah kushinda mitume wote Allah aliowaomba. Waislam Takbir🥰🥰🥰
2026-10-28 05:48:19
6
vanillah :
kuna shule nilisoma ya masista jmn ukisema unapandisha majin wana mwambia mzaz amwamishe
2026-10-27 09:40:09
14
juliejulie :
proud muslims nawasalimia 😁
2026-10-28 07:25:28
5
Marry Rekebisha :
WOKOVU UMEFIKA KWA MTUMISHI WA MUNGU KUUJUA UKWELI NDIO WOKOVU WENYEWE AMEN AMEN UBARIKIWE SANAA
2026-10-28 04:29:23
6
alishanto45 :
Na sio kila jini ni mbaya💯
2026-10-28 06:59:48
1
ROJA :
Wasukuma wako wengi waganga umeshawai kuskia msukuma muislam
2026-10-27 18:56:05
6
rich mchoraji :
dah uyu shehe sasa nimemuelewa
2026-10-27 04:10:16
16
Bint Mziray :
hapa mtaani ninapofanya kazi oman kuna msikiti wa majini,mdogo hivi.
2026-10-27 19:17:45
7
.isika7_ :
KAKA YANGU WEWE NI MKWELI , NDIO NINACHOKUPENDEA..HUO NDIO UKWELI!!!!
2026-10-27 03:36:05
13
sumaa furniture 🧿🧿 :
yesu ni nani na mtume ni nani ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja ila kila dini imemwita jina lake
2026-10-27 03:45:17
7
gerald99 :
hongera sana kwa kujibu vyema
2026-10-27 18:51:10
6
Elias Ngalawa :
Yesu ni Bwaaaaana,
2026-10-27 02:27:57
19
DOUBLE SIX :
alowaambia kuwa huyu ni shehe nani
2026-10-28 09:27:49
2
PERFECT KOKU 🍭 :
aah shekhe wakwanza kuongea ukwel Dunia nzima🥰🥰
2026-10-28 09:08:41
3
yahya45 :
mtume s a w anasema kila mtu anajini wake na yy piya anae ila jini haruhusiw kkutawala na ww nd unatakiw umtawale ko unavyosem mtume alikuw nashauriana na jini ni kupotosha watu na ukifa uwandae majibu kw allah
2026-10-27 04:44:15
2
user2700772111618 :
umesema ukwel shehe
2026-10-27 18:38:05
2
Karen Ibrahimu :
Yesu ni Bwana
2026-10-27 19:28:49
3
Bigg Vibe :
ubarikiwe umejibu vema
2026-10-27 18:33:49
2
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm
homepage.