Sawa mm ni muisilami shekhe Lakin shekh mm siyajuwi mazur yake sas
2026-10-26 21:08:22
21
Nakhla Hamid :
yaani kifo cha huyu dada kimewapa funzo watu wengi sana Africa Mashariki na nchi tofauti,Allah amrehemu
2026-10-26 21:27:06
223
Binti swaleh :
subuhannallah,,allahuma husnal hatima💔💔💔😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
2026-10-26 20:57:58
103
UNCLE _YU 254💖🌹☪️ :
Allah amsameh madhambi yke insha'Allah 🤲🤲🤲
2026-10-26 20:59:24
51
user5699215497565 :
ukimuombea dua maiti na ww pia unapata thawabu sawa
2026-10-27 03:39:31
65
mentosa💕 :
I think the best way to help her n kumwombea dua n km tunweza kuchangisha pesa ajengewe kisima iwe n yenye kumpunguzia madhambi yake in shaa Allah
2026-10-26 21:49:28
35
🦋MRS. NASHI❤️💍🦋 :
Wallah tuombeni mwisho mwema sisi binaadamu si kitu hapa duniani tunapita 🤲🏻 allah amsameh makosa yake 🤲🏻
2026-10-26 20:23:03
89
khalima67 :
ya Allah atujaalie mwisho mwema imani..wasichana iwe funzo kwetu jmni dunia Hadaa hatujui kesho yetu🥺🥺
2026-10-27 03:31:16
28
Magaiwa Chacha :
sshihi sheh
2026-10-27 03:50:45
0
talal :
aamaal yake anaijua Allah peke yake
2026-10-26 22:22:21
29
mamaB :
uyu anaehoji yupo vizuri
2026-10-27 04:57:46
11
Beya khamous💞😘 :
khusnul khatim yarabbi 😰😰😰
2026-10-26 22:36:29
24
tasnym :
tuombe hatma njema jamani
2026-10-26 20:29:38
30
husna.a23 :
MashaAllah Mwenyezi Mungu amemchukua siku ya usiku wa Ijumaa. Mwenyezi Mungu amrehemu amsamehe madhambi yake na amjaalie Jannatul Firdaus Aamiin Ya Rabb 🤲🏽🕊️
2026-10-26 21:44:10
54
Ally :
lkn mabaya yake aliyatangaza mwenyewe
2026-10-27 02:33:25
11
Saliath Abdallah :
Allah amsamehe jaman na atusamehe sote pia
2026-10-26 23:12:48
12
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
Allah atujalie mwisho mwema tu ila kuswali hamswali 🥺
2026-10-27 02:03:12
12
Nchu Mvuli Havakwi👊 :
kumuombea dua ni khiyari sio lazima alafu mm niko na makoasa yangu alafu nimuombe mtu mwenye alikua anamkosea mungu hadharani na anajua chenye anakifanya anamkosea allah
2026-10-26 22:22:23
5
nah56 :
Allah atupe mwisho mwema🥺🥺🥺
2026-10-27 03:51:49
6
abohudheifa :
muulizaji yupo vizuri sana hayo ndo maswali yafaa kuulizwa sasa
2026-10-26 21:40:00
17
bint mamy :
hi ndio nilikua nasubiri shkran 🙏
2026-10-26 21:22:35
18
Muminah Ralaly :
Yani hiki ndo kitu nilichokuwa nikikisubiri toka kitambo sana
2026-10-26 21:46:47
34
Rey chaupole🧕 :
Kwakweri inaskitisha mno allah ampe kauli thabiti hakika umauti nifumbo mbele yake nyuma yetu 😭😭😭
2026-10-26 21:59:00
14
fatma :
mwenyezi mungu amsamehe nasi atupe mwisho mwema subhanllah
2026-10-26 21:08:56
20
To see more videos from user @sheikhnurdeenkishk, please go to the Tikwm
homepage.