@fikrahuruzamuafrica: CHIONDA AMUWASHIA MOTO MCHUNGAJI DR KALULU#tanzaniantiktok🇹🇿 #swahilitiktok #dini #lubumbashi😘🌺congolaise🌺😍 #kenyantiktok🇰🇪

fikrahuruza_muafrica
fikrahuruza_muafrica
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 October 2026 20:08:26 GMT
22240
1583
112
40

Music

Download

Comments

user2884537333597
miraji mohammed :
dini niutumwa uliobak Africa!
2026-10-27 07:46:59
11
mbenamchawi
MAN OF GOD 💒 :
anatumia nguvu sana uyo mganga
2026-10-27 15:13:45
2
kimay_agro_deals
David :
tatizo la chionda kwenye hii midaalo anakua awapi nafasi wengine watoe maoni yao lengo ni kujua ukweli halisi ni upi so kila mmoja ampe mwenzio uwanda mpana wa kueleza kilichopo ili kujua ukweli halisi
2026-10-29 06:24:55
4
raymondleonss
raymond :
Vitabu hivo viliandikwa na mitume kwenda kwa hao watu husika, waliandikiwa kupewa ujumbe sio wamiliki wa hvo vitabu
2026-10-26 23:24:03
6
crispy2399
Chris.Op🦺🥾 :
wafia dini wengi wamekalilishwa
2026-10-27 04:02:28
11
matuta_alkebulan
matuta alkebulan :
HOTEP
2026-10-26 20:30:56
4
harrison.chaula2
Harrison Chaula :
kuna watu wamechoka kufikilia kwani hapo chihonda anatetea nini
2026-11-02 11:27:49
0
shomingowashoming
shomingowashoming :
NA MUNGU WAO AKASEMA KWENYE WAK 1:15;18
2026-11-03 10:33:12
0
petroedwin
Edwin Petro :
kwani kipindi hicho waafrika hawakuwepo mbona ni kwa wazungu
2026-10-27 07:12:46
4
nassoro.mkwanje
Nassoro Mkwanje :
WARUMI MDIO WALIOANDIKA NI TOFAUTI NA ZILE NYARAKA ZA PAULO CHIONDA YUPO SAHIHI
2026-10-29 10:02:24
0
estaban_jongwe
Esteban Jongwe :
hapo Kuna mmoja anatetea wakoloni mwingine anatetea uafrika
2026-10-30 00:34:10
3
tomnaabona
Tom Naabona :
hii argument ni nzuri. Ajajibu Swali. Mitume imeandika vitavu tofauti aliotengeneza biblia ni costantine na dola yake ya rumi. Kwaio dini ni ya kirumi na baadae wakatoa vitabu, na vingine wakaviacha ambavyo vingi viko Ethiopia, na bado wakaanza kubadili maneno ya ivi vitabu na ivi vyote vimefanyw na warumi
2026-10-29 18:23:57
2
africanprecious
ZAHIRI_22 :
hawana point
2026-10-26 21:14:56
1
user3344687676614t
Mvamila wa mvamila :
dini ni utumwa mchungaji acha kuishi kwa hadisi zilizo andikwa na wakoloni
2026-10-27 16:26:21
4
duda24952
DUDA :
constantine alitafsiri biblia kutoka ktk lugha ya asli kuja ktk kingereza
2026-10-31 19:40:24
1
lengushasha1
Dr. LETINGA :
mbona malaika hawa wana majina ya kizungu!
2026-11-03 07:01:50
1
simon.bumela
Simon Bumela :
ko ya Ethiopia ni ya lin chionda
2026-10-27 07:07:49
1
ph_mizimu
Mizimu ph :
kwann biblia ni moja lakini kila dini inaamin kivyake na kila mtu anaamini kile anachoamin kitamfikisha mbinguni kwann isiwe ni kitu kimoja
2026-10-31 19:32:31
1
deus.gb
Deus GB :
Maswala ya imani ni magumu, ukoloni ulitudhuru 360°
2026-10-27 08:30:28
1
dicksonycharles
Dc Wa Kitaa :
kwanini hamna mtume muindi au mwafrica
2026-11-05 05:46:35
0
elisha.mogha
Elisha mogha :
mbn chionda mkali
2026-11-09 05:51:05
0
flobest3
flobest1 :
🥰🥰🥰🥰 Mimi nawakubali asili Mya myamoja mungu wa Babu zangu anione kaniekwamaisha yangu kilaninachokifanya kiende nifanikiwe jamani
2026-11-09 18:19:19
0
chrispinhenerkogmail.com
chrispinhenerkogmail.com :
wachungaji mnajiabisha kwann mkabishane na watu...achen hao bado kidog
2026-11-05 17:02:17
0
kapele.mzee
Kapele Mzee :
Kahulu umepatikana ndugu yanguuu
2026-11-07 04:45:42
0
zagaloo28
user63812394053864 :
n yeye anafwata history's sio unafiki
2026-10-26 22:12:00
0
To see more videos from user @fikrahuruzamuafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About