@cdq_updates: Jeshi la polisi limeitia mikononi gari aina ya spacio huko Zanzibar ambayo imekutikana na kosa la kupakia idadi kubwa ya abiria (overloading),watu hao ikiwemo na watoto. @polisi.tanzania
cdq_updates
Region: TZ
Monday 26 October 2026 21:57:27 GMT
Music
Download
Comments
AkhtarStore_Zanzibar :
33 not 27 (33+ driver =34🙄🙄
2026-10-27 05:12:41
0
Khanaf :
27 bc n Coaster et
2026-10-27 13:10:35
0
officialnay07 :
akah bc hiyo n coaster sio spacio tn
2026-10-27 04:54:13
0
Official_mayrah 47❤️Collection :
Sasa wasende foro jmn😁😁
2026-10-27 03:33:28
98
LELUU BEAUTY🦋 :
hiyo spacious ni special car😂
2026-10-27 05:09:20
17
SHARJAH FARMS TZ :
mie nimehesabu nimepata watu 33
2026-10-27 05:53:58
58
Zamim :
Beeeee 27 dereva nakuomba uje uyapange maisha yangu please 👏👏
2026-10-27 10:14:44
35
🇹🇿★ 🅳🅾🆂🆃🆄🅼 ★🇹🇷 :
33 + dereva 34😂😂😂
2026-10-27 09:33:20
1
sharluut :
my question😃walikaaje
2026-10-27 05:38:46
1
rahmamuhamedi615 :
walikaa adi kwenye usukani
2026-10-27 05:45:36
13
happy :
naomb aje ayapange mahusiano yangu t kama alivopanga awo wat kweny gr😳
2026-10-27 06:28:51
18
🥰 :
nadhani tulivyoiyona sio tunavyofkiria
2026-10-27 10:24:46
5
Bint jabir@ :
34 pamoja navichanga na dereva
2026-10-27 07:33:14
9
Hilal_jkr :
Dala Dala au 🤣🤣🤣
2026-10-27 07:08:44
3
Naa beautiful cream :
utasema mchezo wa kuigiza
2026-10-27 08:15:23
5
shakiraissa034 :
na Hao walobebwa pia wahesabiwe mwenetu
2026-10-27 08:30:30
5
Benell :
Namuomba uyo dereva aje aendeshe mahusiano yangu tafadhali
2026-10-27 03:31:43
6
Kabhi haa kabhi naa :
Km inapata ajli inakuaje familia nzm
2026-10-27 05:34:07
3
Nitham_hena_makeupartist🤎🤎 :
mm yngu watu 5 tu inagonga chin😂😂sisubutu
2026-10-27 10:27:18
3
fatmakhelef3 :
wenzio walikua wanaenda maulidini😂😂
2026-10-27 05:45:39
2
Ms T :
33 mwanetu😂
2026-10-27 00:30:00
3
Abuu Nauthar :
ila hio sio gar ya abiria anakamatwaje kw kosa hilo au ndo siyajui
2026-10-27 12:45:40
1
shaymaa :
jmn uzalilishaj🥺🥺
2026-10-27 00:38:16
1
Sky~ :
nipe no ya dereva anipe mbinu ..hii prado yangu Abood namwaribia biashara kabisa 😁
2026-10-27 08:38:24
4
salma said :
mbona kidogo hao
cc kwenye bajaj t tuliingy 15
2026-10-27 11:34:36
0
To see more videos from user @cdq_updates, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.