mbappe top scorer
1. laliga
2. uefa champions
3. world cup
still hajashinda ""men striker award"" hata ""ballon d'or 💔💔
2026-10-26 23:29:21
44
>>>°GÂĐĄFÏ_26 :
hili limeniuma aysee
2026-10-27 13:18:17
0
katana mpole :
corruption fifa 😁😁
2026-10-27 16:51:40
0
FOOTBALL WORLD :
Why kylian mbappe
2026-10-27 09:01:31
0
hansboy :
iso not fair[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-27 04:44:05
0
Uncle Pastuzo :
Wahuni hawa ...vigezo ambavyo vimempa KANE tuzo ndio hivo vilimnyima Halland 2023
2026-10-27 03:38:51
28
Man :
Corruption
2026-10-27 04:51:03
0
yudaisack324 :
unai kafungwa goli moja2 kombe la dunia
2026-10-26 22:38:02
14
xɐʌᴉø :
Kombe la Dunia Huyo Raya Kadaka Ngapi
2026-10-26 22:11:49
7
ayewb :
wanawapa watu wanao wapenda sio wanao stahili
2026-10-27 09:55:38
5
Cassy1Gamer :
mechi 8 za kombe la dunia ni ngumu sana aisee kuliko hizo ligi
2026-10-27 01:30:02
5
ceo_n1 :
kaka ana saves ngap hyo kipa ana backline nzur ila sio mzuri kaka
2026-10-27 04:37:47
1
CHAGEN_🔟 :
shida yenu wachambuz wa TikTok mpira wenyew hamuujui world ndy highest stage ya mpira wa miguu kama unakumbuka mwaka 2022 ni kigezo kipi kilimpa messi Ballon di'or jibu ni world cup na individual brilliance aliyoionesha kwenye michuano iyo bac
2026-10-27 06:44:10
0
K_G_T :
ubora wa kipa siyo cleansheets kaka, hizo zinaweza kupatikana kwa ubora wa mabeki
2026-10-27 07:46:21
0
Masha :
Kama Raya ni mzuri kwanini Unai alikuwa anamuweka benchi kombe la dunia
2026-10-27 07:29:52
0
officialdoctor@Eliasi Eliya :
kombe la dunia raya ajadaka hata ile mipira ya nje
2026-10-27 11:26:19
0
seyyid Said :
raya clean sheets zake analindwa na beki zake Yan ukuta wake ni mzur
2026-10-27 09:12:00
0
KEYS_GAMER :
2026-10-27 07:20:01
1
prof yamal :
tunaangalia save ngapi na namna anavyo husika kwenye kuanzisha mashambulizi
2026-10-27 05:57:09
0
Ahmed_dby714 :
umeuwona ukuta aliyokuwa David raya
2026-10-27 12:01:18
0
Tchoua mani-18🖖 :
kweli mwanang fact asa mm mwenyew nimejiuliza sna ktk 2zo izo mbili
2026-10-27 19:46:01
1
Maestro :
Wametuibia Raya big time
2026-10-27 12:19:32
1
Epiq Arts Press :
Point of correction
Unai Simon amefungwa goal 1 tu world cup yote
So ana clean sheet 7 out of 8 matches
2026-10-26 23:44:38
3
ICE 🧊❄️ :
usisahau RAYA KACHUKUWA GOLDEN GLOVE PREMIUM LEAUGE MARA 4 MFULULIZO
2026-10-26 23:53:51
2
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm
homepage.