@oneminutewithsheikhjamal: Je unataka kuingia Jannah? Naam, anza kwa kuwatendea wema waja wa Allah hapa duniani. Kuwa mwema kwa kila mtu na uzungumze nao kwa maneno mazuri, toa salamu kwa watu na pia lisha wenye uhitaji. Tuyafanye haya kwa ajili ya Allah, tukitarajia radhi Zake na Jannah Yake. 🤲🏽 Namuomba Allah atujalie tabia njema na atujaalie kuingia Jannah. Aamiin Ya Rabb 🤍 #oneminutewithsheikhjamaludin #fyp #islamicvideos #muslimtiktok #islamicreminder
sheikh siku hizi ukisalimia mtu anafikiria unamuomba pesa 😆
2026-10-27 04:50:42
15
swalleh maher :
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema
2026-10-27 03:58:13
6
Ally Sultani :
allahaqbar
2026-10-27 17:51:43
2
Sarah Saleh :
Ya Allah tujalie tupate mwisho mwem🙏
2026-10-27 03:57:34
9
uislam ni nuru :
subhanaka
2026-10-27 05:25:10
5
Deshka Noor :
Alhamdulilah ya Rabbii 🤲🤲🤲
2026-10-27 05:11:39
4
Abdul Ghani Omar :
Sheikh ningependa sana siku moja nikutane nawe kwenye mihathara yako. Allah akuongezee mengi miaka uendelee kutufunzaa mengi ya pepo! Ameen Yaa Raab! [Pray][Pray][Pray][Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts]
2026-10-27 17:53:54
4
Riziki :
ya Allah tujalie kauli njema tujue kuishi na watu
2026-10-27 14:17:55
3
ابو عمرو :
shukran wa jazaakallah kheiran ya sheikh
2026-10-27 03:29:01
3
moh29 :
amin 🙏
2026-10-27 04:56:20
3
مو سى محمد سالم :
shukran🤝
2026-10-28 08:50:38
1
🥷🏾Kanali⁶⁴ :
Hapo kwa Salamu sasa😩💔
2026-10-27 19:43:38
1
Ak009 :
Scw Scw Scw
2026-10-27 13:26:45
3
MAMAKE DUNIA❤️❤️❤️ :
Allah Akbar
2026-10-27 09:08:32
2
ummy suu :
allah nijalie mwisho mwema aamin
2026-10-27 08:05:06
2
F❤️ :
Allahu Akbar
2026-10-27 07:34:51
2
Deshka Noor :
Allah sw 💗💗💗💗
2026-10-27 05:11:35
2
zahra :
scw scw scw
2026-10-27 04:59:24
3
mariam :
Mwengine wamsalimia ana kunyamazia ufanye nn hpo.kila mda hasalimiki 🥺
2026-10-27 08:29:59
2
Maria Ivone Teixeira :
Ameen
insha Allah
2026-10-27 03:27:42
2
Ibrahim Hassan :
sheikh...masheikh wenzako wanatupotosha huku...wallahi...wanaeneza chuki,fitna,unafiki, ubaguzi waislam kwa waislam, wanahukumu wenzao ile mbaya mbovu Hadi inafkia hatua mtu anachukia dini.....!!!
2026-10-28 08:47:58
0
Abdul Ghani Omar :
NAAM, NAAM, NAAM, NAAM, Niliwahi ambiwa salaam zake huyu mbonaaa too much 🫣🥲🤔🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
2026-10-27 17:56:47
0
@Yusradhin :
Amiin Ya Rabbii❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-29 06:19:49
1
ukweli mchungu :
@أمانة العاصمة المقدسة @ukweli mchungu
2026-10-27 17:51:51
2
East🕸️🦍🌊🎭 :
❤️❤️❤️
2026-10-27 04:20:04
0
To see more videos from user @oneminutewithsheikhjamal, please go to the Tikwm
homepage.