mm sikubaliani nacho unachokiongea sisi waislamu ndio tunaharibu wenyewe uislamu usijaribu kupotosha watu ukaifanya ndoa si kitu chochote wala lolote kwasabubu hao unaosema km ndugu umeunganishwa nao wametokana ndoa wahakuteremshwa kutoka mbinguni umezaiwa pamoja
swali :kwann tuliambiwa tuowe wale maharimu wetu sio ndugu zetu. ndoa sio temporary
2026-10-27 12:43:22
1
Frola yonah :
Nakupenda xana madam Mungu akupe maisha marefu
2026-10-27 08:34:48
1
uninteme :
ndo unajua leo
2026-10-27 06:36:01
2
Paschal Raphael :
nakupenda sana Dada maana unayosema ni ukweli ambao haukwepeki
2026-10-27 04:30:06
1
Everius Evodius :
yapaswa kutafuta nini kifanyike sio kukariri maisha tuu
2026-10-27 12:15:56
0
Jotabro's :
na Mim nataka nikuambie Mke au mume ndio mtu pekee ambae mtaishi wote mpaka kuzeeka kwenu mpaka kifo, ila Watoto na ndugu watapta wataenda kua na Maisha Yao so akili za kuambiwa changanya na zako.
2026-10-27 09:53:45
2
COUSIN_WA KENYA :
🥰🥰
2026-10-27 09:27:11
0
To see more videos from user @inshaallahtvonlinetz, please go to the Tikwm
homepage.