@aliensun7: #creatorsearchinsights

ALIEN SAN 👽 🇩🇪🇹🇿
ALIEN SAN 👽 🇩🇪🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 04:22:01 GMT
413569
25108
1703
808

Music

Download

Comments

user68797947280200
Safina Dodo :
Connection please niende nikazae🤣🤣🤣
2026-10-27 05:29:07
221
marymmassy98
mary mmassy98 :
Jamani tusomeni alichokuwa anakisema sio hicho huyo alikuwa mfanyakazi ila aliishi na watoto vizuri
2026-10-27 09:06:48
203
sheima.athuman
sheima athuman :
wewe kaka unacho kizungumza unauhakika nacho et
2026-10-27 05:23:18
468
felisternyariki
💝🥰🥰BILLQUEEN MYLES 💞💞🥰 :
kuzaa watoto 20 ni ngapi aki 😳
2026-10-27 10:36:08
6
ilhamilu1
ilham :
unachokisema hakina ukweli wwt
2026-10-27 05:40:18
69
user4513594398544
mummy fai :
Acha kutuzoea bhana uyo ni dada wa kazi watoto wamemzoea ndio maana wanamlilia apo anaondoka
2026-10-27 08:41:31
46
wemawiston30
Wema Wiston :
mm siwez
2026-10-27 20:54:22
0
winnify8
Winnify :
mimi ata nipewe one million naweza🤣
2026-10-27 07:02:38
23
aisha.fatima6691
Aisha Fatima :
hao watoto maarufu sana wadanganye wasio jua
2026-10-27 05:32:56
8
user4032696108177
Ann felix :
pesa ndio kitu ya maana
2026-10-27 05:47:34
13
aishamadimpz
aishamadimpz :
😂 😂Baba tuache kidogo tunamsiba wa tiktoka wa dera kuchanika
2026-10-27 07:33:06
18
paulina.nauyo
Paulina Nauyo :
shida Iko wapi apo watamtafuta wakikua
2026-10-27 05:20:36
7
aisha.omary197
-it's isha❤️🦋🦋😜 :
hapana bnh alikua mfanyakazi mzuri watoto walimzoea 🥺🥺🥺
2026-10-27 11:18:49
5
veronice2416
veronice :
huyo alikuwa mfanya kazi mzuli watoto walimzoea saana
2026-10-27 06:53:43
15
gianna0969
Gianna :
mbona siyo huyu tunamfahamu bwana wameishi naye kwa upendo now anaondoka pia usichokijua ndiyo yule bosi wake na Rozi wa Kenya
2026-10-27 06:22:44
11
essy55022
Essie🥰❤️🥰❤️ :
niwapi uko niende pia
2026-10-27 05:23:56
5
forryfae
forryfae :
si wanaume pia huacha
2026-10-27 19:22:16
1
rujjaina73
Rujjaina :
Pambeee tu
2026-10-27 18:12:57
0
user1049138077453
user1049138077453 :
ulikuwepo
2026-10-27 17:58:40
0
zawadi376
Zawadi💞🥰💖 :
mi sioni shidaa 😂😂😂
2026-10-27 19:48:24
2
.mahiza75
.mahiza. :
kwani wanaume hawaachi watoto
2026-10-27 19:26:47
1
jumamohamed152
Juma Mohamed :
mwanetu nini
2026-10-27 19:34:30
1
mariaabuyeka359
Maria Abuyeka :
sasa wa takaafanyeaje pesa kashapokea
2026-10-27 19:18:03
1
trizahkmwash
Tessie🌸🦋 :
Huyu anangelea msichana mgani juu hii story naijua yote, hawa watoto ni venye walikua wanapenda huyu msichana sana na ata hakua Saudi Arabia ni Oman
2026-10-27 08:15:59
1
zamaradi861
Zamaradi mohamedy :
kaka umenigusa kuna mzee alikuwa boss wangu nikiwa na umri wa miaka 17 aliniambia nimzalie mtoto anijengee anipe nachotaka na biashara anifungulie kisha nisimjue kama ni mtoto angu mi nilikataa akaniambia ntakufa maskin sasa sijui alinilaan maana ata uwanja sina
2026-10-27 11:39:55
4
To see more videos from user @aliensun7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About