Km hamkuwapiga vita vichogo zanzibar kuipata amani sio rahis
2026-10-27 13:01:24
10
🌎 :
innocent mzanzibari au sio😂
2026-10-28 04:05:41
3
meky sana 2 🇹🇿🇹🇿🇬🇶🇬🇶 :
pole sana
2026-10-28 07:52:00
0
BUSHIRION KING :
Shukuru sana, Kuna wenzio mpaka SCREEN wametolewa
2026-10-27 13:42:17
3
Peter the Teacher :
unaandika caption za kibaguzi Ina maana kabla ya watu kuingia Zanzibar hapakuwa na udokozi!
2026-10-27 13:22:39
2
Getruda Hayola :
Pajee panatisha yani mimi Sina hamu aki majizi ni Mengi sana
2026-10-28 08:07:00
0
Amar Mussa :
nilimwambia anichukulie uwo ubao sijuw kasahau
2026-10-27 07:04:06
2
hilmy :
pole
2026-10-27 08:52:39
2
Lantana🇯🇲🇹🇿 :
kwahiyo wezi ni sisi tunaokuja au jaje 😂😂😂
2026-10-27 17:20:16
1
user1842668694577 :
Pole.ndugu njo mambo tujikaze t sasa
2026-10-28 03:35:08
0
Mama baby🇹🇿 vs 🇴🇲 :
🥺🥺🥺mtihan
2026-10-27 06:28:02
2
Aنwar :
tumeona
2026-10-27 19:06:54
0
Mr.Bahadur Anwar Okera :
duh Zanzibar kuna vizi
2026-10-27 09:11:09
0
Hamisi Ali :
pole kaka
2026-10-27 06:59:24
1
Familia tour andsafari Zanziba :
me enyewe yamenikuta
2026-10-27 14:06:58
0
zaahid :
muungano,oye
2026-10-27 17:06:08
0
zulubantu :
2026-10-27 07:29:24
1
Da vai :
pole
2026-10-27 11:54:18
0
Peter De zanzibar :
Hamna shida
2026-10-28 06:20:31
0
Cheela Umaar :
vichogo oyeee
2026-10-28 04:40:13
0
yussuf3090 :
Zanzibar sasa hivi sio paje tuu mote kwisha znz mchanganyiko umeletaa balaa Sanaa zenji😭😭😭😭 Ilaa amini mola hawatopata kila siku aoo ipo siku italipa kila tukio walilo lifanya insha'Allah 🤲
2026-10-27 20:46:29
1
Rashid Mohamed :
Bora wizi wauliwe
2026-10-27 19:37:41
0
Kingston bagamoyo :
Tatizo ngada na vijana hawana pesa za kuchetua
2026-10-27 19:42:32
0
miner :
mbn mumeingiliwa zamani tu nyie mdo unajua leo
2026-10-27 17:10:40
0
gallo zanzibar :
Pole sana na una bahati pia jamaa kaacha ubao apo
2026-10-27 16:33:20
0
To see more videos from user @abumbo15, please go to the Tikwm
homepage.