@mentalwellness_tz: Kuna swali ambalo linaniumiza kidogo ninapofikiria mahusiano ya wengi wetu: Kwa nini tunafundishwa lugha ya kujisikia vibaya, lakini sio lugha ya kusema tunachokihisi kwa upole? Tunajua kusema ‘wewe unaniumiza’ vizuri sana. Tunajua kupiga kelele wakati tuna hasira. Lakini kusema ‘ninahisi...’ kwa utulivu, kwa ukweli, kwa wakati sahihi, ni ujuzi ambao wengi wetu hatukupewa. Na si kosa letu, ni pengo la elimu kwenye mazingira tuliokulia. Lakini huu ni muda wa kufanya maamuzi juu ya maisha yako. Chagua kujifunza ili uwe bora zaidi #tiktoktanzania🇹🇿 #psychology #tiktokviral #viralvideo #communication
Na hiii imekaaaje ?! Tukigombna anapotea ata week 2 ata kam kosa ni lake me ndio naanza maongeziii , 🙌 he complains about me always
2026-10-27 09:58:15
2
feizer :
Sasa Doctor unanishauri vipi kuhusu mpenzi nilie nae kila siku namtafuta Mimi tu,,, lakini yeye akiwa Na shida anajifanya kuwa karibu na Mimi baada ya siku 2 au 3 anakuomba Pesa.
2026-10-27 06:19:45
2
peacelover % :
thanks alot dear
2026-10-27 04:58:51
2
Brianah B£rry :
Kwann nikwambie nachohis km unaona shid iyooo
2026-10-27 07:10:59
2
𐙚𝓘𝓽’𝓼 𝓙𝓮𝓼𝓼𝔂 😊🌸 :
Ss hao
2026-10-27 13:06:45
2
Luxury_ :
Mimi rafiki yangu kila akikosana na mpenzi wake anavunja vitu💔 hii ni nini
2026-10-28 06:47:33
0
dr t.hope :
Very Strong Dr
2026-10-27 10:25:58
1
one45251 :
Sister umesoma saikoloji ya mahusino
2026-10-27 20:19:33
0
Namy :
2026-10-27 08:23:29
2
i'm_nancy@4545 :
ooh yec
2026-10-27 06:47:42
1
Elegant lady❤️ :
daaah asanteeeeeee[Red heart] nimemkosea sana yule mtu nilikuw namuattack sanaa sijui naweza vipi kuomba msamaha
2026-10-27 08:28:30
3
To see more videos from user @mentalwellness_tz, please go to the Tikwm
homepage.