@isackdriver: Hii nimaalum kwa dereva anayehitaji kujifunza so ikikuoendeza jifunze uelewe. barabara na sheria zake. #creatorsearchinsights #policetz🇹🇿 #Hgvwideinstituteofdriving #fyyyyyyyyyyyyyyyy #roadlife
anatakiwa kusimamisha gari moja sio gari kumi askari mmoja kaka unaruhusiwa kuondoka kama askari mmoja kasimamisha gari nyingi kwa pamoja ndivyo ilivyo tujifunze kujua haki zetu tuwqpo load life🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
2026-10-27 22:38:04
0
Joshua_John_666 :
kwnn akague gar sehem ambay hakuna parking ya gar mpk usababish folen ndo maana mm wa intersemi natoa kichw pemben tela libak road tunyooshane tu
2026-10-28 10:34:47
0
Chollo_swaxstar :
Wana kagua sasa kaka yani nivituko ww tafuta chenchi weka kwenye dashboard
2026-10-28 05:48:18
1
Mm.mh Mussa :
Wewe umekwepa swali ameukiza askal anakagua gar yeye ambae hajasimamishwa anaruhusiwa kuoita au anasubir huo msururu sasa sheria uliyosomanhujafafanua ni kituo cha ukaguz au sehem yeyote aliposimama askal akisimamisha wambele nanyie wanyuma msimame ?
2026-10-29 05:01:14
0
Alfred Kihwelo :
wewe vip mimi nikaaje ndani akamkate mwenye gari
2026-10-28 09:29:56
0
chudexama 🎤🚛🚛 :
🙌🫡🫡
2026-10-27 17:16:16
1
WHERO JR :
😀
2026-10-28 15:26:49
0
ally Special :
💯
2026-10-28 19:05:08
0
To see more videos from user @isackdriver, please go to the Tikwm
homepage.