@pastor_kagoro_01: #UKWELIHALISI:ORODHA YA MANABII WA UONGO NA MITUME WA UONGO NA WACHUNGAJI WA UONGO WALIOPO KATIKA NCHI YA TANZANIA •Ndugu Zangu,WATANZANIA. Biblia inasema mtaijua kweli na hiyo kweli itawaweka huru. Imeandikwa Yohana 8:32 [32]tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. •Kuna watumishi tanzania wanaotembea kwa Nafasi kama mitume au manabii na Wanaonekana watumishi wa Mungu lakini Wameuza nafsi zao kwa shetani na wamejiunga kwenye uchawi kwa ajili ya kupata Mamlaka na Nguvu na watu wengi. Katika Biblia tunaonywa kuwa Kuna makanisa ambayo madhabahu yake ni kiti Cha enzi Cha Shetani lakini unaweza kufikiria ni Kanisa zuri tu. Imeandikwa Ufunuo wa Yohana 2:13 [13]Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani. • watumishi niliowaona ulimwengu wa roho mara nyingi sana kuwa ni freemason na wachawi ni MTUME BONIPHACE MWAMPOSA NA NABII SUGUYE. •Nimekuonya, Kama unafuatilia mafundisho yao na kutoa sadaka huko na kuabudu huko na kutumia Mafuta ,maji na VITAMBAA au UDONGO kutoka kwao ujue HUTAURITHI UFALME WA MUNGU USIPOTUBU NA KUONDOKA kwa Hawa mitume na manabii. • Katika NCHI ya Tanzania manabii Wa kweli wapo lakini wengi wao sio maarufu kimtandao, watumishi wa Mungu wa Kweli wapo unaweza kuwafuatilia mfano Askofu Gwajima, Askofu Kakobe, Mwalimu Mwakasege, Askofu Obed Katunzi, Askofu Moses Magembe n.k. wafuatilie watumishi hawa kwa usalama wa nafsi yako • mitume wengi na manabii na wachungaji wengi maarufu kwenye mitandao ya kijamii Asilimia 99% wana mkataba na kuzimu na ni freemason mfano Tony Kapola, Edmund mystic, Maboya,Mzee wa upako,Nick Shaboka na Rose SHABOKA,Jodevi, Rolinga,Nabii Denisi anayetabiri Mpira wa Miguu, Nabii IPM n.k Mathayo 7:15 [15]Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Writer: Pastor John Kagoro Whatsapp:+25629923647

PASTOR JOHN KAGORO
PASTOR JOHN KAGORO
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 27 October 2026 05:47:23 GMT
27944
426
88
58

Music

Download

Comments

young.titus8
young titus :
Tonny kapola ni mchungaji ambae nilimuomba Mungu anionyeshe .I believe YESU anafanya kazi ndani yake na anaagano na YESU na sio Shetani
2026-10-27 09:29:15
9
ellybm5
EllyBM :
Sijui sana. Ila nadhani tubaki na andiko linalosema mti hutambulika kwa matunda yake. Hayo mengine ya majina, imagine useme mtu ni mtumishi wa shetani halafu asiwe 🤔
2026-10-27 19:23:19
9
ggm1881
GGM :
Huyu mtumishi hahukumu, bali anatoa tahadhari ili nawe upate nafasi ya kufuatilia kama mtu mwenye roho wa Mungu.
2026-10-27 16:00:42
15
im_damas
Damas Angel :
Huku ni kutafuta attention, sidhani kama kuna mtumishi wa Mungu aliyeitwa kuja kusema yule ni mtumishi wa kweli na yule ni wa Uongo. Mungu ndio anaita watu, na wito mkuu ni kuhubiri injili ya Bwana Yesu. Kila mtu azingatie wito wake tuitumie hiyo nguvu kuhubiri injili ya Kristo.
2026-11-05 08:26:24
2
hillary_0025
hillary_0025 :
Amina ulichosema ni kweli, mtu akimwomba Mungu kwa uaminifu atamfunulia hakika, Watu waombe Sana, wawe waaminifu kwa Mungu, wajitenge na dhambi wafanyike chombo kitakatifu kwa Bwana, waitoe miili Yao sadaka kwa Bwana, wamuulize Mungu, anajibu na anafichua Yale tusiyoyajua!!!
2026-10-27 06:25:32
3
ibrahimlembao1989
lembao :
mimi nashauri kiroho kama utapenda kwenda kanisa fulani kwa ajili ya kuungana masuala ya kiibada funga na kuomba ujue kanisa lipi utakalokuwa unaenda kuabudu siku zote za maisha yako utakuwa salama ni kweli hizi ni nyakati za mwisho uvivu wa kuomba na kufunga
2026-10-27 19:13:06
1
tzkwanza2
Tz kwanza🇹🇿🤝 :
unasema kwa uyaonayo kwa macho siyo kwa kufunuliwa mfano Kakobe kisa anakataza mapambo? unajua maagano yake na kuzimu usitaje kwa kuona kwa macho wapo wengi wa uongo kwa macho kama wa ukweli muulize Mungu usije danganya watu Mungu akakuhukumu na wewe pia tubu dhambi na kuacha usihukumu kwa macho
2026-10-28 14:48:39
0
nabiisalvatore
Nabii Salvatore :
waliokulia Mafundisho ya Dini, badala ya kukulia Mafundisho ya Wokovu aliouleta Yesu Kristo ni Shida sana!
2026-11-06 22:41:57
2
silent_blave
𝖘𝖎𝖑𝖊𝖓𝖙 🥷 𝖇𝖑𝖆𝖛𝖊⚔️ :
kwa nn umsemee mwenzako kua ni muovu au muongo ikiwa wewe ni msafi, mchafu anamjua mchafu mwenzake, na msafi anamjua msafi mwenzake..,
2026-10-29 06:32:45
2
isack.lupasha
Isack Lupasha :
nakufuatilia sana Mungu aendelee kukutumia zaidi katika kusema kweli
2026-11-06 18:54:23
1
shamydoi
Shamydoy :
AMEEN BWANA YESU ANISAIDIE
2026-10-27 08:00:16
2
mwishowamamboyoteumekari
Mwl/Ev.Lazarus Ismail💎 :
Ninakuelewa na huo ndio ukweli maana mimi hata ushahidi ninao. ila nafikiri siyo vizuri kuweka hiyo picha ya mrehemu Hayati John Pombe Magufuli
2026-10-28 05:30:46
1
jr.swax
Jr Swax :
mungu akubaliki mtumishi wamungu
2026-10-27 20:52:55
1
dativa.isdory
Dativa Isdory :
aliye wa mungu anakuelewa
2026-10-27 14:45:44
1
josephine_mzena1597
Jojo stylish👗🎀✨️❤️‍🔥 :
hadi rolinga???mhhh
2026-10-27 11:56:28
1
johnpeter9101
John john :
MWENYE SIKIO NA ASIKIE ROHO AWAAMBIA WATU WAKE
2026-10-30 07:13:49
1
eliza36288
Elizabeth :
Aminaaaa
2026-10-27 07:34:29
1
lyidiahlite
lyidiahlite :
Kwa Rose Shaboka ni uongo
2026-10-27 13:28:50
0
mwishowamamboyoteumekari
Mwl/Ev.Lazarus Ismail💎 :
Kwanini uweke picha ya Marehemu Hayati magufuli
2026-10-28 05:27:57
0
shelaymiracle
Shelay miracle :
nikweli mkuu
2026-10-29 19:54:23
0
ezrasaku
EZRAH SAKU NORBERT :
Hata huhitaji kuambiwa, ukiona mtumishi yeyote katupia chain chingoni yenye msalaba au ya aina yoyote hata muimbaji wa nyimbo za injili ukiona ana chaini au mkufu shingoni wa dhahabu hicho ni kibali kutoka kuzimu wakubalike na watu hata watu ambao hawajihusishi na injili hiyo chaini wanayo jihadhari na ibada zao, ila kama ni mkumbo usiseme hukujua nahuku wapo wanaokufunulia
2026-11-03 05:59:34
0
im_damas
Damas Angel :
Kwa upande wangu hii sio sawa kabisa kuwahukumu watumishi wengine kuwa ni watumishi wa shetani, kwasababu huna uhakika na unachokisema. Imagine unasema ni watumishi wa shetani alafu ni Mungu anawatumia hapo unakuwa unaipinga kazi ya Mungu na kuifananisha na ya shetani. Hata tukisema labda wanatumiwa na shetani vipi kama wametubu na Mungu akawasamehe wewe unajuaje. Kama humuelewi mtumishi wa Mungu yeyote usimfuate wala kumsikiliza, msikilize yule unaemuelewa na kumuamini. Kwasababu vipi kama unapinga kazi ya Mungu, vipi kama hao wanatumiwa na Mungu.
2026-11-05 08:23:36
0
sammirubo
EXTRA69 :
Amina mtumishi
2026-10-27 07:02:49
0
To see more videos from user @pastor_kagoro_01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About