@khaanmahaba:

khaan mbarouk
khaan mbarouk
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 27 October 2026 05:58:22 GMT
40680
4225
73
40

Music

Download

Comments

og_mjukuu
Mjukuu :
Waislamu wenzangu tusiache swala..
2026-10-27 06:05:24
42
user1217223910632
thomas :
amsanue
2026-10-27 06:06:53
3
nanga.vs.irene
Nanga Familly 56 A. :
Sasa! Mika 33. Wanini Nan Amuoe.
2026-11-05 09:24:02
1
naomicharles22
naomicharles :
Amsanue shem.
2026-10-27 09:31:55
4
shtuumuhamad88
Shtuu@Muhamad88 :
msaidie shemeji msema kweli ni kipenzi cha MUNGU
2026-10-27 06:03:38
10
mariam.nyundo4
Mariam Nyundo :
amwambie ukwel tu
2026-11-03 13:21:31
1
rehema.bandari2
Rehema saidi :
kama Kuna kitu siwez kukificha kwamtu yoyote basi kizazi changu
2026-10-27 12:50:39
6
akbarimohamedy
akbarimohamedy :
amwambie 2
2026-11-01 22:12:30
1
user1701550216332
Mariamu mkimbu :
ukweli ni mzuli amwambie tu
2026-11-02 11:32:58
2
emmanuelkanengo5
Ema mk wanangu99 :
amsanue tu ili jamaa awe wazi
2026-11-04 10:53:35
1
msoma.edger
Msoma Edger :
amwambie
2026-10-27 19:39:07
2
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Kitu ambacho siwezi kuwaficha watoto wangu alhamdulillah mwanaume kakubali kila kitu kikubwa heshim
2026-10-28 17:22:22
2
officialabal15
Official_Abal :
amsanue tuh
2026-11-01 16:25:54
1
ramson_mwita
ramson mwita :
Amsanue tu maana ukweli ndio msingi katika maisha ya NDOA na uongo ni kikwazo katika maisha ya NDOA
2026-10-27 11:02:21
4
2039chia.mamy
2039Chia mamy :
Bora ukweli
2026-10-27 17:39:41
3
user2371044655583
winy Nelson :
siku zote ukweli umuweka mtu hulu
2026-11-02 20:18:32
1
hpy8282
Happy🍎 :
amwambie2 kama anampenda atomuacha
2026-10-28 06:59:13
2
favmomo1
Favmomo☘️ :
Dah dunia Ina kazi jmn🙌🏿.mung awe upande wetu kila muda🥺
2026-10-28 09:27:08
2
mkodomi
Mkodomi14 :
Amsanue tuu
2026-10-27 13:34:52
1
konde.boy596
Konde Boy :
hahaahahah
2026-11-01 07:58:00
0
olypro3
user2280219149638 :
aseme tu
2026-11-01 00:16:31
0
christopher.mages
Chris :
amsanue
2026-11-02 12:33:46
0
salhadiary9
salhaDiary 🌙 :
si Sawa kumwambia shemej yake ila azungumze na dada yake amwambie huyu mchumba wake kama yeye ana mtoto kama kampenda kweli hawezi kumuacha kisa tu ana mtoto
2026-11-01 17:59:18
0
phina.mwacha
Phina mwacha :
kwan mtoto ni aibu?
2026-11-01 18:23:49
0
sabby9747
sabby :
kwa akili zangu labda ni fupi ila naona amsanue tuu kwa kwelii manak mwisho wa siku itajulika tuu hawez jua ni nan atakaekuwa mwema kwaoo🙏🙏
2026-10-27 06:37:43
0
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About