jaman kaka wangu nilikuwa naumwa nikamtumia ujumbe kwamba naumwa ilikuwa usiku kam wa saa mbili aliniuliza unaumwa nin nikamjibu baada ya apo ajanitafuta mpka mim nilipo msalimia mida saa 8 ndio ananiuliza unaendeleaje ( Sasa kaka mim nimeshindwa kuelewa sababu akinimis anitafuta kiasi kwamba ata ukimjibu vibaya hasemi chochote ila mkishakuta tu kesho yake ata sms aujibu na usipo mtafuata ndio akutafuti kabisa ukimuuliza au kumwambia kwambia mim sipendi iyo tabia anaacha kuchat na wew na akusikilizi naomba ushauli)
2026-10-28 18:13:05
4
last born♥️🌹 :
bro Asante sana umefanya nianze upya aisee ,,Kuna makosa mengi nilikuwa nafany kwenye mahusian bila kujua I really agree with you, brother.
2026-10-30 05:13:45
1
Chimamy ❤💯 :
Asante kwa ushauri wako acha nianze upya sasa maana nilikua nakosea
2026-11-01 07:20:36
1
Treza D :
hakikaa
2026-10-31 18:31:08
1
Rietty🥀 :
kweli kabisaa
2026-10-28 12:28:51
1
Naomipay.com :
Edinburgh kitabu changu Upo?? wewe ni kitabu🌹
2026-11-03 12:20:36
1
make :
jamani nisaidie namba yako
2026-10-31 03:04:31
1
JJ :
asanté
2026-11-15 17:26:15
0
radhia 🌺 :
good
2026-10-28 17:52:00
1
Bee❤️ :
hakika
2026-11-08 19:10:40
0
Ms. Nice :
fact kabisaaa
2026-10-27 15:20:24
1
happy collection :
anaamua kukaa kimya tuu bila sabbu, msg ukimtumia anasoma ila hakujibu, ukipiga cm hapokei, ukimuomba kuonana kuzungumza pia hatak ila akiwa na shida na ww ya kukutana kimwili anakua romantic sana ila baada ya hapo hali inaendelea kuwa ileile nisaidie kaka kwa situation hii kaka kuna upendo kwel?
2026-11-01 15:34:30
1
flower sliver :
kaka nisaidie mi mtu wangu akitaka tuonane ananitafuta mda wote lakin tukishaonana tu baada ya siku mbili au tatu anakuwa bze hata sms hajibu anakwamby nakucheki baadae lakin hakutafuti mi nimechoka halafu nikimwamby tuachane anaanza kulalamika sana naonekana mim tena ndo nina makosa lakini ukweli nimechoka sana
2026-11-18 05:23:30
1
fety🥰 :
😊
2026-11-02 08:53:20
0
To see more videos from user @e.munyugu, please go to the Tikwm
homepage.